Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hlai ya ati ati Sudan Kusini

Wanajeshi wa serikali ya rais Salva Kiir wanaendelea kuukaribia mji wa Bentiu unaodhibitiwa na waasi huku waasi wenyewe wakianza kuondoka eneo la makabiliano

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

VIUMBE KUSAIDIANA NDIO WAJIBU ATI....

Kusaidina wakati wa shinda ndio kilimwengu ! Sisi sote ni viumbe wa mwenyezi Mungu , mfano hai wa kusaidiana ni huu pichani ! yaani mzee mzima ngamia akipewa Lift na Punda,chini ya usimamizi wa kiranja Binadamu ! Lakini msaada wa msafara huu mwisho wake !? sijui wapi? kama hospitalini ? au machinjioni ? aumzee ngamia anapelekwa kufunga ndoa harusini siri ya msaada wa msafara huu wanaujua ni wausika ! au pengine ndio mambo Eco-Transport ?

 

10 years ago

Bongo Movies

Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu Ati!!!

Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael  “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.

Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...

 

10 years ago

Michuzi

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni  Mhe. Salva Kiir Mayardit  Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...

 

10 years ago

GPL

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan kusini

Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Sudan Kusini imeporomoka?

Nchi changa zaidi duniani Sudan Kusini, imeorodheshwa kama nchi ya kwanza yenye hali tete zaidi duniani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maslahi ya UG, Sudan Kusini

Serikali ya Uganda imekiri kuwapeleka wanajeshi wake kusaidia wanajeshi wa Sudan kupambana na waasi wa Riek Machar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani