VIUMBE KUSAIDIANA NDIO WAJIBU ATI....
Kusaidina wakati wa shinda ndio kilimwengu ! Sisi sote ni viumbe wa mwenyezi Mungu , mfano hai wa kusaidiana ni huu pichani ! yaani mzee mzima ngamia akipewa Lift na Punda,chini ya usimamizi wa kiranja Binadamu ! Lakini msaada wa msafara huu mwisho wake !? sijui wapi? kama hospitalini ? au machinjioni ? aumzee ngamia anapelekwa kufunga ndoa harusini siri ya msaada wa msafara huu wanaujua ni wausika ! au pengine ndio mambo Eco-Transport ?
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Hlai ya ati ati Sudan Kusini
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu Ati!!!
Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.
Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...
11 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Unesco kuendelea kusaidiana na Tanzania kuinua elimu
Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akielezea mantiki ya warsha ya wadau wa elimu kuhusu viwango vya umahiri wa Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu Tanzania iliyofanyika mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani mwishoni mwa juma.
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limesema litaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kuhakikisha kwamba...
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Afande Sele awasihi wasanii kuwa na moyo wa kusaidiana
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani mjini Morogoro kwa madhumuni ya kutoa pole kwa Afande Sele pamoja na Familia ya marehemu ya aliyekuwa Mzazi mwenzake Afande Sele,Marehemu Asha aliyetambulika zaidi kwa jina la Mama Tunda,ambaye leo anatimiza siku Arobaini tangu afariki na kuzikwa.
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza...
10 years ago
GPLUNESCO KUENDELEA KUSAIDIANA NA TANZANIA KUINUA ELIMU
11 years ago
Michuzi20 Jul
MABONDIA WAKUTANA NA KUUNDA UMOJA WA KUSAIDIANA KATIKA MAMBO MBALIMBALI
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Viumbe wa ajabu wa baharini
WATU wengi wanadhani kuwa utafiti kuhusiana na wanyama umekamilika. Lakini ukweli ni kuwa bado kuna maswali mengi sana kuhusiana na maisha ya wanyama mbalimbali ambayo hayajapatiwa majibu. Ndio maana kila...