Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unesco kuendelea kusaidiana na Tanzania kuinua elimu

IMG_8896

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akielezea mantiki ya warsha ya wadau wa elimu kuhusu viwango vya umahiri wa Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu Tanzania iliyofanyika mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani mwishoni mwa juma.

IMG_8887

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limesema litaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kuhakikisha kwamba...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNESCO KUENDELEA KUSAIDIANA NA TANZANIA KUINUA ELIMU‏

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akielezea mantiki ya warsha ya wadau wa elimu kuhusu viwango vya umahiri wa Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu Tanzania iliyofanyika mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani mwishoni mwa juma. Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa CFIT kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni...

 

11 years ago

Mwananchi

EQUIP- Uwekezaji mkubwa wa kuinua elimu Tanzania

Wadau wengi wa elimu wanakiri kuwa uwekezaji hasa katika maeneo muhimu ndiyo unaoweza kunusuru hali ya mambo katika sekta ya elimu.

 

10 years ago

Habarileo

UNESCO kutekeleza mradi kuinua bidhaa za Kimasai

SHIRIKA la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania linatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiriamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK kuzindua mpango wa kuinua elimu

RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuzindua Mpango wa Kuinua Ubora wa Elimu Tanzania (Equip-Tanzania), unafadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika la Misaada la Uingereza (DFID- UKAID). Mpango huo utakaotekelezwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mikakati ya Remnant Academy kuinua elimu

ELIMU ni msingi wa maendeleo kote ulimwenguni na taifa lisilowekeza katika elimu ya watu wake, linajiandalia kaburi kwa sababu litashindwa kuendana na kasi ya maendeleo  ya nyanja mbalimbali yanayotokea kote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali, sekta binafsi kuinua elimu

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema itaendelea kushirikiana na watendaji na sekta binafsi katika kupatia ufumbuzi wa ukuaji wa elimu nchini ili kufikia malengo ya Matokeo Makubwa Sasa...

 

9 years ago

Michuzi

UNESCO KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA IDARA YA MAMBO YA KALE KATIKA KUBORESHA HIFADHI NA KUVUTIA WATALII NCHINI

Baadhi ya washiriki wa warsha iliyoandaliwa na UNESCO pamoja na Idara ya Mambo ya Kale wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mr Adelhelm Meru kufungua warsha hiyo iliyofanyika Coral Beach jijini Dar Es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dr Adelhelm Meru akifungua warsha ya siku moja iliyoandaliwa na UNESCO kwa kushirikiana na Idara ya Mambo ya Kale kwaajili ya kujadili uboreshwaji wa utawala na matumizi endelevu ya hifadhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chuo India chadhamiria kuinua elimu nchini

MKURUGENZI wa Chuo Kikuu cha Rajendra Singh cha nchini India, Dk. Sarit Kumar, amesema chuo chake kipo tayari kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuinua sekta ya elimu nchini. Amesema chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani