HOFU YA BOMU YATIKISA CHUO KIKUU DAR

waandishi wetu WAKATI hofu ya ugaidi wa Kundi la Al Shabaab la Somalia ikiwa bado imetanda kufuatia mauaji ya wanafunzi 146 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, hisia za kuwepo kwa bomu imewakumba watu mbalimbali pamoja na wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baada ya kitu kilichodhaniwa kuwa bomu kukutwa katika kituo cha mabasi ya daladala kijulikanacho kama Kontena, kilichomo eneo la chuo hicho. Kitu kilichodhaniwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...
11 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Hofu yatanda chuo kikuu cha St. Francis
WANACHUO zaidi ya 500 wa shahada ya udaktari katika chuo kikuu cha afya cha St. Francis Ifakara, Kilombero mkoani Morogoro wako kwenye hofu ya kufukuzwa baada ya kupandishwa ghafla gharama...
11 years ago
GPL
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
10 years ago
GPL
AFUNIKA UFAULU CHUO KIKUU DAR
11 years ago
Michuzi.jpg)
TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
.jpg)
10 years ago
GPL24 Dec
10 years ago
GPLCHUO KIKUU DAR WAJADILI SHERIA YA TAKWIMU, MAKOSA YA MITANDAONI
10 years ago
Michuzi
PSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

11 years ago
GPLONESHO LA VYOMBO VYA MUZIKI KUFANYIKA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM