Hofu ya Islamic State kushambulia Munich
Polisi mjini Munich wamefunga vituo vikuu viwili vya treni baada ya idara ya ujasusi kuonya kuwa kungetokea shambulio, maafisa wanasema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Islamic State waendelea kushambulia Ramadi
Wapiganaji wa IS wameendelea kushambulia maeneo yaliyo karibu na mji wa Ramadi wiki moja baada ya jiji hilo kukombolewa na wanajeshi wa Iraq.
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Islamic State yadai kushambulia Misri
Islamic State limedai kutejkeleza shambulizi la bomu nje ya ubalozi wa Italia mjini Cairo Misri mapema jumamosi.
10 years ago
BBC
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
UN yaungana dhidi ya Islamic State
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la kuzidisha juhudi za kukabiliana na Islamic State.
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Washukiwa 14 wa 'Islamic state' wakamatwa
Uhispania na Morocco zimewatia mbaroni watu 14 katika operesheni ya pamoja, iliyowalenga washukiwa wanaoandikishwa kujiunga na kundi la wanamgambo wa Islamic State.
11 years ago
BBCSwahili11 Sep
Marekani kupambana na Islamic State
Marekani imetoa tamko kuchukua hatua stahiki dhidi ya kikundi cha wanamgambo wa dola ya kiislam huko Syria na Iraq.
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Urusi yashambulia Islamic State
Urusi imesema kuwa imetekeleza shambulio kali zaidi dhidi ya maeneo yanayokaliwa na wapiganaji wa Islamic State nchini Syria
11 years ago
BBCSwahili22 Aug
US:Wapiganaji wa Islamic state ni tisho
Marekani imeonya kuwa kundi la wapiganaji wa Islamic State( IS) ni hatari kwa usalama
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Mwanajeshi wa Uholanzi ajiunga na Islamic state
Afisa mmoja wa jeshi la wanahewa la Uholanzi adaiwa kusafiri hadi nchini Syria na kujiunga na kundi la wapiganaji la Islamic State
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania