Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Home Shopping Centre yafunga biashara zake

1NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KAMPUNI ya Home Shopping Centre imefunga biashara zake zilizokuwa jijini Dar es Salaam na katika mikoa mingine.

Tangazo la kampuni hiyo yenye maduka yanayouza bidhaa mbalimbali za nyumbani na ofisini, lilitolewa jana katika ukurasa wa 20 wa gazeti la Daily News la nchini likisema imevunjwa kwa hiari.

“Umma unafahamishwa kuwa kupitia azimio maalumu la Oktoba 5, mwaka huu, Home Shopping Centre Limited imeamua kuivunja kampuni kwa hiari,” limesema tangazo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

Home Shopping Centre nao kufunga maduka yao

Mojawapo ya maduka ya Home Shopping Centre. KAMPUNI ya Home Shopping Centre nayo imetoa azimio la kutaka kusitisha huduma zake na kufunga maduka kama walivyofanya wenzao wa Uchumi Supermarket hivi karibuni. Katika notisi ya azimio iliyotolewa kwa umma na mfilisi Yusufu Mohamed wa Law Domain Advacates kwenye gazeti la serikali la Daily News inaonyesha kuwa maazimio yaliyofikiwa Oktoba 5, mwaka huu, Home Shopping Centre Ltd...

 

11 years ago

Michuzi

Home Shopping Centre yamzawadia mshindi wake wa kwanza wa shindano la 'pendezesha nyumba na HSC'


Na Andrew Chale
KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za majumbani na ofisini ya Home Shopping Centre (HSC) imemzawadia mshindi wake wa kwanza wa ‘pendezesha nyumba na HSC’, Rehane Jaffer zawadi ya sh 500,000.  Shindano hilo linaendeshwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kwa  jina la ‘Give a Way’.  Mshindi alikabidhiwa hundi ya kiasi hicho cha pesa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Meneja Mauzo na Masoko wa HSC, Nadhir Mubarak Bahayan ambaye aliwataka watanzania kushiriki shindano hilo...

 

11 years ago

BBC

Nigeria shopping centre hit by blast

An explosion hits a busy shopping centre in Nigeria's capital, Abuja, and there are reports of casualties.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mahakama Kenya yafunga baadhi ya shughuli zake

Sekta ya mahakama nchini Kenya imechukua hatua ya kufunga baadhi ya shughuli zake kufuatia taarifa ya kupatikana na mtu wa Kwanza mwenye virusi vya corona nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa kufunga Kampeni za CCM,zilizofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari...

 

9 years ago

Michuzi

CCM YATIKISA JIJI LA MWANZA,YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni. 
 Umati wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kushudua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimishaji biashara na faida zake kiuchumi

UCHUMI wa Tanzania umeelezwa kuimarika huku pato laifa likikuwa kwa asilimia 7, lakini ukuaji huo hauna matokeo chanya kwa mwananchi. Moja ya sababu kubwa ni kwamba watu wengi hawajarasimisha rasilimali...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona. 





DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.

Hatua hizo...

 

11 years ago

Bongo5

Diamond aruhusu watu kutumia picha zake kwenye biashara ya T-shits na Salon

Hit maker wa My Number One, Diamond Platinumz amesema anajisikia furaha kuona vijana wakijitafutia riziki kwa kuuza T-shits zenye picha yake. “Kuwekwa tu pale kwangu mimi nimefurahi, nisiwe mnafiki. Siwezi kusema nimesikia uchungu eti kwa nini ametumia sura yangu. Yaani nimefurahi kwa sababu ninaona kama taifa limeni-appreciate kazi yangu na mtu katengeneza t-shits na kauza […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani