Home Shopping Centre nao kufunga maduka yao
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/home-shopping-center-2.jpg)
Mojawapo ya maduka ya Home Shopping Centre. KAMPUNI ya Home Shopping Centre nayo imetoa azimio la kutaka kusitisha huduma zake na kufunga maduka kama walivyofanya wenzao wa Uchumi Supermarket hivi karibuni. Katika notisi ya azimio iliyotolewa kwa umma na mfilisi Yusufu Mohamed wa Law Domain Advacates kwenye gazeti la serikali la Daily News inaonyesha kuwa maazimio yaliyofikiwa Oktoba 5, mwaka huu, Home Shopping Centre Ltd...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Home Shopping Centre yafunga biashara zake
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya Home Shopping Centre imefunga biashara zake zilizokuwa jijini Dar es Salaam na katika mikoa mingine.
Tangazo la kampuni hiyo yenye maduka yanayouza bidhaa mbalimbali za nyumbani na ofisini, lilitolewa jana katika ukurasa wa 20 wa gazeti la Daily News la nchini likisema imevunjwa kwa hiari.
“Umma unafahamishwa kuwa kupitia azimio maalumu la Oktoba 5, mwaka huu, Home Shopping Centre Limited imeamua kuivunja kampuni kwa hiari,” limesema tangazo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1eKuunD_9bo/Uyc3FAvTHdI/AAAAAAAFUPI/ut98Xqa0l0E/s72-c/Nadhir+akimkabidhi+hundi+mshindi.jpg)
Home Shopping Centre yamzawadia mshindi wake wa kwanza wa shindano la 'pendezesha nyumba na HSC'
![](http://2.bp.blogspot.com/-1eKuunD_9bo/Uyc3FAvTHdI/AAAAAAAFUPI/ut98Xqa0l0E/s1600/Nadhir+akimkabidhi+hundi+mshindi.jpg)
Na Andrew Chale
KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za majumbani na ofisini ya Home Shopping Centre (HSC) imemzawadia mshindi wake wa kwanza wa ‘pendezesha nyumba na HSC’, Rehane Jaffer zawadi ya sh 500,000. Shindano hilo linaendeshwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kwa jina la ‘Give a Way’. Mshindi alikabidhiwa hundi ya kiasi hicho cha pesa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Meneja Mauzo na Masoko wa HSC, Nadhir Mubarak Bahayan ambaye aliwataka watanzania kushiriki shindano hilo...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75834000/jpg/_75834667_bn-448x252.jpg)
Nigeria shopping centre hit by blast
10 years ago
Habarileo28 Mar
Wafanyabiashara washinikiza korti kwa kufunga maduka
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja, kufutiwa dhamana na Mahakama na kupelekwa rumande, wafanyabiashara sehemu mbalimbali nchini, wamefunga maduka kushinikiza kuachiwa kwa kiongozi wao.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Tanga watishia kufunga maduka kugomea EFD
11 years ago
GPLVODACOM KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 400 KUPITIA MADUKA YAO
11 years ago
Michuzi14 Feb
TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA YAO NA KUACHA KUENDELEA KUGOMEA MASHINE ZA EFDS
![DSCF2699](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/fP6Nvu4doNvksvn8R6TfVg2KxvZ1hjRuubH0OaLbZAfs0UKpk4iTdpYgbV3_jtKMaSPEi3ipY9eQd-jbC9vod-S2nXmSVd-I-beBpcHIUJz8nXuEjr6S5aP9Fc_1YQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2699.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2695](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/9wXJMgcTT1gL2Dh9Q64z5LzpX8xPKjhMLT21mzOU13J3oI9GzaOrAN5zbGIDnMb7J6q7HMXYr2VkgDo0DF1KtNid4OVOc0VLoJKe_vtoW6dI-DItEAui1XIZFAldpw=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2695.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2697](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/wofDhjDluKornfCBlzzW9uqlD7Hnf809mhcZNXo69GmfPeDHnqTWaMk6qvuPZqwM-HTbl9vqSKadKzzcUsk9lEyydcO-RhbVBIzK8l4-bfq6nqvwQTd2i5WHT6aXnw=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2697.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2713](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/xFfK6G9Fisk13uJDlxE6qQ7tFz2zsqS-nT_yI2BznCXMOjnD6bfeeKPPymc7FEK5k05F0OjNc9vszEpcM0UqSRPD97xGJ3K0Lt_pTxhzijuRya1e_m_IxzfJQRqDZQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2713.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2700](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/YjQ5X6jvCRJUnJBlzyiWVgO_fthElxH0R980xoYTA8_yyLm8xyWizczd-qFOpDDmjkvq_Z6lWMTX508SCnTrNxJ71DkS0S1Tpc4Zdk2Eu_CjcjfSTZPR2RK_viydWA=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2700.jpg?w=627&h=470)
![DSCF2706](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/Iiss-_jgQlgCR_W1sUPVe4AV_put2_zLgy86WdpXNTqKMnwh2tUA813PHoMN3cUuFT9uMU5XYJut0pMAxC2e8dk_nRQX0jVlzCSBTjYgdHoXgS7lX-Mv_7agy5WMEA=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2706.jpg?w=627&h=470)
10 years ago
MichuziKAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...