Hospitali ya AMI yafungwa rasmi
HATIMAYE Hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Center ya Masaki Dar es Salaam, imefungwa rasmi na mmiliki wa jengo kukabidhiwa funguo zake.
Hospitali ya AMI na ya gharama ya juu, ilikuwa ikitoa matibabu kwa viongozi wa ngazi za juu wa Serikali, wabunge, mabalozi na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje ya nchi.
Kufungwa kwa hospitali hiyo ni kutokana na kushindwa kulipa kodi ya pango kwa zaidi ya miezi 26, inayofikia zaidi ya dola za Marekani milioni 1.6,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Hospitali ya AMI hatarini kufungwa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
HOSPITALI ya AMI iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam iko mbioni kufungwa baada ya kushindwa kutekeleza amri ya Mahakama ya Rufaa ya Tanzania, iliyoitaka kuwasilisha mahakamani dola za Marekani 1,514,000 pamoja na kodi ya kila mwezi inayofikia dola 64,000 baada ya kukiuka mgogoro wa mkataba wa upangaji.
Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Mbarouk, Salum Massati na Katherine Oriyo waliiamuru African Medical Investments (T) Ltd (AMI) kufanya...
10 years ago
Mtanzania15 May
Mali za Hospitali ya AMI zakamatwa na dalali
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
DALALI wa Mahakama, MEM Auctioneers and General Brokers Ltd, jana alikamata na kuondoa mali za Hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Centre iliyoko Msasani Dar es Salaam, kutokana na kudaiwa kodi ya pango ya zaidi ya Sh bilioni tatu.
Akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo mwakilishi wa kampuni hiyo ya udalali, Elieza Mbwambo, alisema kiasi hicho ni kodi ya pango ya zaidi ya miezi 26 kinachodaiwa na mmiliki wa jengo...
10 years ago
Dewji Blog11 May
Hospitali ya AMI kufurushwa kwa kutolipa kodi ya pango ya bilioni tatu
Na Mwandishi Wetu
Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imeamuru kufurushwa kwenye jengo hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Center ya Msasani Jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango kwa zaidi ya miezi 26, inayofikia zaidi ya dola za kimarekani milioni 1.6 (zaidi ya Shilingi Bilioni tatu za Kitanzania).
Hatua hii imefikiwa baada ya mabishano ya muda mrefu ya kisheria baina ya AMI na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa jengo hilo, Bw....
10 years ago
Michuzi11 May
Hospitali ya AMI hatarini kufurushwa kwa kutolipa kodi ya pango ya bilioni tatu
Hatua hii imefikiwa baada ya mabishano ya muda mrefu ya kisheria baina ya AMI na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa jengo hilo, Bw. Navtej Singh...
10 years ago
Dewji Blog17 Jan
Pinda amtembelea mbunge Vita Kawawa anayepatiwa matibabu hospitali ya AMI jijini Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor9-SfFSkrXVR9tWAyvR9RaaiQUhk5XnT1RQ4xNaOadXMARw5SKJ6Lw8b6z9ypLCtCF8AUfbVvqDpDqfIhNXcMtwm/BACK.jpg?width=650)
OFISI YA KANUMBA YAFUNGWA RASMI!
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Kesi ya rais wa Kenya yafungwa rasmi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTHJjsOlWI7U97hb-54*e-Id6Q1wTWxU1gQu34wI1PSmh9bBdz9lB1Mez9X8sEEw3T8xvVpMesME9Z8D3mOZ8yIw/thjty.jpg)
DIAMOND, ZARI NDOA YAFUNGWA RASMI
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Rais Kikwete na Mkewe wamjulia hali mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa aliyelazwa hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.(PICHA NA IKULU).