Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba ya Kikwete, ubabe wa Sitta vitatukosesha Katiba mpya

WIKI iliyopita Rais Jakaya Kikwete alikwenda bungeni kuzindua Bunge Maalumu, hotuba yake ilitarajiwa kuwaunganisha wajumbe wa Bunge hilo na Watanzania. Kwa bahati mbaya fikra hizo hazikutimia, hotuba ya kiongozi huyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Katiba ya Sitta imejaa ubabe, maswali mengi’

WANAHARAKATI nchini wamesema pamoja na Rais kupokea Katiba iliyopendekezwa, bado wanaona ni ya kibabe huku ikiacha maswali mengi kwa watanzania. Akizungumza na Tanzania Daima, Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

GPL

HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni. Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba; Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Rais Kikwete Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba,Mjini Dodoma Leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni,Kulia ni Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein na Katikati ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA

 Kaimu mwenyekiti wa Uukwaa la Katiba Tanzania Hebron Mwakagenda akizungumza na wanandishi wa habari leo Agosti 27, 2014 juu ya mwenendo wa bunge la katiba.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ: MH. SAMUEL SITTA NDIE MWENYEKITI MPYA WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta (pichani) ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita.
Akitoa Neno la Shukrani mara baada ya kupata nafasi hiyo,Mh. Sitta amewashurukuru Wajumbe wote wa Bunge la Katiba kwa kuweza kumpa nafasi hiyo adhimu.Pia amempongeza mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe kwa kukubali matokeo hayo.
taarifa kamili itawajia muda mfupi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani