Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba ya Lissu; azungumzia kukoma Ubunge, atangaza hatua zinazofuata

Kuangalia unaweza kugonga hapo chini https://youtu.be/PpwHmbRrKoI

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania

Tundu Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania akiwa ughaibuni

 

5 years ago

Michuzi

TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUJITOSA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu  Na Said Mwishehe, Michuzi TV


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi Tundu Lissu ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka 2020.

Lissu ambaye amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kwa nyakati tofauti amekuwa akionesha nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Atangaza kuwania ubunge Arumeru


NA SHAABAN MDOE, ARUMERU
JOTO la ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki limezidi kupanda baada ya kada wa CCM wilayani humo, Elirehema Kaaya, kutangaza kuwania kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kaaya ambaye aliwahi kugombea nafasi hiyo mwaka 2005 na 2010, alisema juzi, kuwa hajakata tamaa kwa kuwa anaamini amejipanga kikamilifu.
Mtangaza nia huyo ambaye kwa sasa ni Ofisa Uhusiano wa Jiji la Mwanza, alisema kilichomsukuma kuwania ubunge ni pamoja na kusukumwa na dhamira ya kutatua...

 

11 years ago

Mwananchi

Wassira atangaza kutetea ubunge Bunda

>Mbunge wa Jimbo la Bunda (CCM), Stephen Wassira ametangaza kuwa atatetea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao, huku akijigamba kuwa yeye ni “mwarobaini wa matatizo” yanayowakabili wakazi wa jimbo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe atangaza kuwania tena ubunge

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Nachingwea, Mathias Chikawe ametangaza kuwa atagombea tena ubunge kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa mwakani, huku akiahidi kuibuka na ushindi.

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimaye Profesa J atangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Mikumi

Profesa J ametangaza rasmi kuwa atagombea nafasi ya ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.Akiongea na 255 ya Clouds, rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, amesema:Unajua nimeamua kugombea jimbo la Mikumi kwa kuwa hapa ni nyumbani. Wazazi wangu waliishi hapa kwa muda mrefu maana babu yangu alihamia hapa kama miaka 58 iliyopita. Baba pia yupo hapa japo wao ni watu wenye asili ya mkoa wa Ruvuma. Kwahiyo nimeona nimekuwa nikiimba siasa sana naona huu ni muda wa kufanya...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MWENEZI WA CCM KILIMANJARO ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya Kilimanjaro ,katika Manispaa ya Moshi akieleza mammbo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Diwani aliyemaliza muda wake wa kata ya Kilimanjaro,Priscus Tarimo wakati wa mkutano wake wa tathmni ulioenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani