Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba ya mwezi ya Rais Kikwete yakosolewa

>Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba yake mwisho wa mwezi, watu mbalimbali wamesema Rais hawezi kukwepa lawama za kuvuruga mchakato wa katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARY, 2015

Hotuba Ya RAIS Mwisho Wa Mwezi Februari, 2015

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI WA FEBRUARI, 2015

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARI, 2015, YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOTOLEWA TAREHE 1 MACHI, 2015   Utangulizi Ndugu Wananchi; Kama ilivyo ada tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuzungumza kupitia utaratibu wetu huu mzuri wa hotuba za kila mwisho wa mwezi.  Kwa mwisho… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tazama hotuba ya Rais Jakaya Kikwete ya mwisho wa mwezi Februari, 2015

JK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Tanzania kwenye hotuba zake za kila mwezi. Fuatilia hotuba nzima hapa chini.

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hotuba ya rais Kikwete alipovunja bunge

Hotuba ya Rais Kikwete bungeni wakati alipolivunja bunge la taifa hilo rasmi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani