Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOTUBA YA WASIRA YA KUTANGAZA NIA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA NGELEJA KATIKA KUTANGAZA NIA YA URAIS WA TANZANIA YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI

Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja  amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi. 


Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika...

 

10 years ago

Michuzi

Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Awali ya yote nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha hapa siku hii adhimu ya leo, maana ni kwa utashi wake tu tunaweza kuyafanya haya yote.


Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.


Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mchopanga Kutangaza Nia Rasmi

JUMA Chikoka ‘Chopa Mchopanga’ mwigizaji na mtayarishaji wa filamu ametangaza rasmi nia yake ya kuingia katika siasa huku akitarajia kutangaza jimbo ambalo atagombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi kwani ndio chama chake ambacho kimempatia ridhaa kugombea.

“Nitaendelea kuigiza hata nikiwa Mbunge kwani lengo langu hasa ni kuwa mwanasiasa asiyeachana na Sanaa ni suala la kupanga muda tu, nitakuwa Bungeni nikipumzika lokesheni kama kawaida narekodi filamu za kuelimisha,”anasema...

 

10 years ago

Habarileo

Ngeleja akanusha kutangaza nia

Wilium NgelejaMBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, amesema kamwe hajawahi kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema hana mpango wa kutangaza nia ya kugombea urais kwa sasa, bali anapenda kushirikiana na waumini na wananchi katika shughuli zao za kimaendeleo.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwandosya kutangaza nia ya urais Jumatatu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.

Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kuchukua fomu siku hiyo kuwania mbio za urais.

Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani Mbeya.
Alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani