Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchopanga Kutangaza Nia Rasmi

JUMA Chikoka ‘Chopa Mchopanga’ mwigizaji na mtayarishaji wa filamu ametangaza rasmi nia yake ya kuingia katika siasa huku akitarajia kutangaza jimbo ambalo atagombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi kwani ndio chama chake ambacho kimempatia ridhaa kugombea.

“Nitaendelea kuigiza hata nikiwa Mbunge kwani lengo langu hasa ni kuwa mwanasiasa asiyeachana na Sanaa ni suala la kupanga muda tu, nitakuwa Bungeni nikipumzika lokesheni kama kawaida narekodi filamu za kuelimisha,”anasema...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tamko rasmi la Dkt. Hamisi Kigwangalla Habari la Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015

 Dkt. Hamisi Kigwangalla, MB (Nzega), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI, akiongea na  Waandishi wa Habari Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015 Kwenye Ukumbi wa Zanzibar, Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel, Dar es salaam, Siku ya Tarehe 7 Septemba 2014.Kusoma tamko hilo BOFYA HAPA

 

10 years ago

Habarileo

Ngeleja akanusha kutangaza nia

Wilium NgelejaMBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, amesema kamwe hajawahi kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

Balozi Karume kutangaza nia leo

Balozi Ali Karume.JOTO la urais wa awamu ya tano linazidi kupanda miongoni mwa makada wa CCM, baada ya baadhi yao kuanza kutangaza nia, na leo Balozi mstaafu Ali Karume anatarajiwa kufanya hivyo, akilenga kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

Pof.Muhongo kutangaza nia leo.

Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KUTANGAZA NIA LEO ARUSHA

Wananchi wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo....wakiendelea kuingia uwanjani hapo.Uwanja umependeza.

 

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA NAYE KUTANGAZA NIA SOON!

Ostaz Juma Namusoma akiwa ndani ya vazi aliloliita la 'Bungeni' HII KALI! Mdau na promota wa muziki wa bongo fleva aliyejichimbia kwa muda mrefu, ameibuka na kali nyingine, safari hii ni kwenye uwanja wa siasa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram, Ostaz ametupiamo picha hiyo hapo juu akisindikiza na maneno 'muonekano wa bungeni' na hivyo kuzidisha ule uvumi ulioenea siku za hivi karibuni kuwa naye anataka kugombea...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwandosya kutangaza nia ya urais Jumatatu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.

Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kuchukua fomu siku hiyo kuwania mbio za urais.

Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani Mbeya.
Alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani