HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI JANA
![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLoJtiLejjGzg2ymgFUy-Z2H4rxCN2pGCRfH5t-fqdES6N5xuBQQnpM0*1RzaIimlXdf1ged2aGfeQCWD8XwH5la/zitto.jpg?width=650)
Mh. Zitto Zuberi Kabwe Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma. Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Mar
HII NDIO HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI YA KUWAAGA WABUNGE WENZAKE
![](http://api.ning.com/files/DmFIhqID0FpBclB7TfcFiRZ2-SgCvrpy-YGRxyfai9FDRTsXlW9F0Hk79q1j2Co33QKi*PPkmLAEKlDl2gz5S1OlpjCGMqKv/zitto.jpg?width=650)
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.
Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB20 Mar
Hotuba Niliyotaka Kuitoa Bungeni Jana
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.
Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na kupitia chama hiki nimejifunza mambo mengi sana....
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_r7eQYpXhjo/U3JOLwB0bFI/AAAAAAAFhbU/R20IeCt1v6w/s72-c/download+(4).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/0EXg2EMR3mM/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/ilani-620x308.jpg)
HOTUBA YA EDWARD LOWASSA WAKATI WA KUZINDUA KAMPENI ZA UKAWA JANA
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Hotuba ya rais Magufuli Bungeni
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Y8DnqzINCoY/VZ6WhVXnW_I/AAAAAAAB07Q/GIsyH-eEtDo/s72-c/DSC_6020.jpg)
HOTUBA YA RAIS BUNGENI LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y8DnqzINCoY/VZ6WhVXnW_I/AAAAAAAB07Q/GIsyH-eEtDo/s640/DSC_6020.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5i0UtV9NNBI/VZ6WiN_SvhI/AAAAAAAB07U/Pux0zZ0g3to/s640/DSC_6064.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 May
Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni
![](http://api.ning.com/files/rUrHnDSl8N-ApWqGWk-Km6KNT4Naj2ErRp0jbWz9QMYRlgZqrPltc1KW7nJeLPAbwi0OOVTmxWN3-AI3qFhhG4sZNTL9hmpc/mbowe_bunge.jpg?width=650)
1. UTANGULIZI:
Mheshimiwa Spika,
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa katika harakati na shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika,Napenda kuchukua nafasi hii pia, kuwashukuru watanzania wote kwa ujumla kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko nchini. Shukrani hizi za pekee ziwafikie wenyeviti...
11 years ago
Michuzi25 Jun