Hoyce Temu afunga mwaka kwa kutembelea kituo cha wazee, Lundenga amtaja kama Miss bora kuwahi kutokea
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (wa pili kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) kushoto Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye ( wa pili kulia), Katibu wa Kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa (kulia) pamoja na mpiga picha wa kipindi cha Mimi na Tanzania, Geofrey Magawa a.k.a KIM (kushoto) wakiwasili Desemba 31, 2015 kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo522 Jan
Madee amchana Lundenga kwenye ngoma mpya , ‘hao Ma-miss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee’
11 years ago
Michuzi31 Jul
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
![IMG-20140727-WA0011](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140727-WA0011.jpg)
Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140727-WA0011.jpg?width=600)
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
9 years ago
Bongo527 Aug
Kamati mpya ya Miss Tanzania yatambulishwa, wamo warembo Jokate Mwegelo na Hoyce Temu
9 years ago
Dewji Blog19 Sep
Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19
Kituo cha Mazoezi cha Home Gym…
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.
Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt634BsDdHYMiVuVAsPxZ4FcvMI5EVNkUgybJ55ofpbm0idUHQq601t1-6W21WLdmrHBaempjY-Qdd7hT9nMCiXJQ/hoyce.jpg?width=650)
HOYCE TEMU ATISHIWA KUUAWA
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Hoyce Temu ajumuika na waathirika wa ukoma Dar
Hoyce Temu akiongozana na kamati nzima ya Miss Tanzania kuelekea kwenye ukumbi wa Nungwi ambapo kuna kambi ya wagonjwa wa ukoma.
…Akizungumza na baadhi ya wazee ambao ni kati ya waathirika wa ukoma.
…Akiwa na mzee mmoja anayeishi kituoni hapo.
…Akichanganya dawa na Tausi Mwenda, mke wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, kwa ajili ya kuulia wadudu.
…Akipulizia dawa kwenye vyumba vya waathirika hao.
Tausi Mwenda (mwenye shati nyeupe) akiwa ameshika maji kwa ajili ya waathirika hao.
11 years ago
Michuzi11 Mar
HOYCE TEMU AMONG TOP MISA'S WOMEN TO WATCH 2014
![Picture-055](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/Picture-055.jpg)
Temu has been involved in the social works by helping the communities in various ways and sharing what she has to make the world a better living for everyone.
On the International Women’s Day, the MISA announced the first annual MISA’s Women to Watch.
MISA is honoring 12 dynamic and inspirational southern African...
10 years ago
Vijimambo17 Feb
015 MISA’S ‘WOMEN TO WATCH’: NOMINATE HOYCE TEMU, VOTE TANZANIA
![HOYCETEMUNAWALEMAVU2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/HOYCETEMUNAWALEMAVU2.jpg)
International Women’s Day just around the corner, MISA’s is looking to...