Huawei City Mall Shop Launch
Huawei Tanzania imeendelea kubuni mbinu mpya za kukidhi haja za wateja wake kwa kuwaletea karibu simu na vifaa vyenye viwango vya kimataifa. Ili kuwahudumia wateja wake katika namna bora na ya ufanisi Zaidi. Kampuni ya Huawei Tanzania wamezindua duka lake la 6 hapa City Mall, Dar es Salaam; ikiwa ni hatua ya kuitikia uhitaji mkubwa wa vifaa vya Huawei nchini na kuhakikisha kuwa bidhaa halisi na huduma bora za Huawei zinapatikana kwa wateja kwa urahisi.
Hili ni duka la tatu la bidhaa hii...
Habari Zinazoendana
5 years ago
Gizchina.Com18 Feb
Huawei To Launch Huawei Mobile Service In Europe Through Honor V30
10 years ago
TheCitizen24 Nov
Mlimani City mall still insecure
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Rocky City Mall, ya kwanza, ya kipekee
UKIFIKIRIA kwamba nakshi na usanifu wa jengo la kitega uchumi linalomilikiwa kwa ubia kati ya Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF) na Halmshauri ya Jiji la Mwanza, ni urembo na mbwembwe tu za wasanifu majengo ili kurembesha kazi zao, unahitaji kubungua ubongo upya, kwa sababu utakuwa umekosea.
Jengo hilo ‘Rocky City Mall’ lililoko eneo maarufu la Ghana, Kata ya Kirumba, jijini Mwanza, kwenye makutano ya Barabara za Makongoro na Furahisha, si tu linaanza kuitimiza ndoto ya...
11 years ago
TheCitizen15 Jul
With Sh5,000, you can drive away a car from city mall
11 years ago
TheCitizen05 May
Airtel renovates, relaunches its Mlimani City Mall centre
5 years ago
Gizmochina25 Feb
Richard Yu: Huawei P40 series will launch on March 26 in Paris
5 years ago
GSMArena.Com12 Mar
Huawei Freebuds 3 to launch in India this month - GSMArena.com news
5 years ago
TechRadar India19 Mar
Huawei P40 is set to launch alongside a new smartwatch from the company
5 years ago
CNET26 Mar
How to watch the Huawei P40 Pro launch event livestream