huduma bora za ujenzi DMV
Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia, kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.
Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTupo kwaajili ya kutoa huduma bora za ujenzi DMV
Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa DMVTunatoa...
10 years ago
Vijimamboupo kwaajili ya kutoa huduma bora za ujenzi DMV
Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa DMVTunatoa...
10 years ago
MichuziTupo kwa ajili yako katika kutoa huduma bora za ujenzi DMV
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Huduma ya BURE ya kukagua afya kwa waishio DMV, Marekani
![](http://2.bp.blogspot.com/-mDcUyIhI1RE/U0O_Ny9U2nI/AAAAAAAAG5g/3CqyPtlZAcA/s1600/Free+health+screening.png)
Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini,rangi,umri,uraia au uchumi.
Kama una rafiki, ndugu au mzazi asiyekuwa na bima ya afya tunaomba mshiriki ili tuwe na jamii inayoshamiri na yenye afya njema. Zoezi hili litachukuwa hatua ya kuwaona wale watakaokuwa na hali pungufu ya afya njema mara moja kwa mwezi.
Tarehe: 04/12/2014 (Jumamosi)
Saa 3:00 asubuhi hadi mchana 7:00 (waweza kuja...
11 years ago
Michuzi22 Jul
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Samia: Nitapigania huduma bora za afya
WIKI moja iliyopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za Uchaguzi Mkuu, katika viwanja vya jangwani jijini Dar es Salaam uzinduzi ambao ulifana kwa kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi.
Uzinduzi huo ulifungua pazia kwa chama hicho kuanza kufanya kampeni ya kuomba ridhaa ya wananchi kukirejesha madarakani ili kiendelee kutawala kwa miaka mitano ijayo.
Ni kupitia uzinduzi huo , CCM iliweka hadharani ilani yake ya Uchaguzi na mgombea wake Dk. John Magufuli na...
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV NA WASHIRIKA WAO WATOA HUDUMA ZA KIMATIBABU NA MADAWA BURE KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA JIJI DAR
Wakina mama wakimsikiliza kwa makini Bi. Ify Nwabuku wakati akitoa maelezo juu ya upimaji wa Saratani kwa wakina mama...
10 years ago
MichuziJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV NA WASHIRIKA WAO WATOA HUDUMA ZA KIMATIBABU NA MADAWA BURE KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA JIJINI DARâ€â€Ž
Wakina mama wakimsikiliza kwa makini Bi. Ify Nwabuku wakati akitoa maelezo juu ya upimaji wa Saratani kwa wakina mama...
11 years ago
MichuziNHIF na huduma bora Wiki ya Utumishi wa Umma