Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia: Nitapigania huduma bora za afya

 WIKI moja iliyopita  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za Uchaguzi Mkuu, katika viwanja vya jangwani jijini Dar es Salaam uzinduzi ambao ulifana  kwa  kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi.

 Uzinduzi huo ulifungua pazia kwa  chama hicho kuanza kufanya kampeni ya kuomba ridhaa ya wananchi kukirejesha madarakani ili kiendelee kutawala kwa miaka mitano ijayo.

Ni kupitia uzinduzi huo , CCM iliweka hadharani   ilani yake ya Uchaguzi na mgombea wake Dk. John Magufuli na...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AZINDUA KITUO CHA AFYA WILAYA YA KITETO, AWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akizindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akipiga makofi baada ya kuzindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akiongea na watumishi Kituo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikika: Wanavijiji wanakosa huduma bora za afya

UKOSEFU wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaatiba katika vituo vya huduma za afya vya umma, ni tatizo linalowaathiri zaidi wananchi wa vijijini. Hayo yalisemwa Dar es Salaam...

 

9 years ago

Mwananchi

Babu wa Samunge:JPM awahakikishie wananchi huduma bora za afya

Tangu aingie madarakani Novemba5, Rais John Magufuli ameonyesha dhamira ya kufanya mabadiliko katika mfumo wa uongozi na utoaji wa huduma za kijamii ikiwemo sekta ya afya inayokabiliwa na changamoto kadhaa.

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA KWA KUSHIRIKIIANA NA SHIRIKA LA HELPAGE INTERNATIONAL WAMEANDAA MKUTANO WA SIKU MBILI WA KUTATHMINI HUDUMA BORA ZA WAZEE ZANZIBAR KATIKA HOTELI YA OCEAN VIEW.

 Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua Mkutano wa kutathmini huduma za Wazee Zanzibar ulioandaliwa na Wizara yake kwa ufadhili wa Shirika la HelpAge International katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar. Picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu wa Wilaya za Zanzibar, Madaktari dhamana wa Hospitali kuu za Wilaya, Jumuia ya Wazee  na Taasisi za kiraia baadhi ya maofisa wa Wizara ya Afya.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma maelezo baada ya kuzindua Muongozo wa Mpango wa Watoa huduma ya Afya ya Jamii, Dar es Salaam jana. Wizara ya Afya imezindua muongozo huwa ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya afya na uhamasishaji, lishe, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi na afya ya mama na mtoto.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi

CEOsir PIC01

. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa  kuwa sababu kubwa ya watanzania  wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.

Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.

Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...

 

10 years ago

Michuzi

huduma bora za ujenzi DMV

Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia, kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.
Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani