WIZARA YA AFYA KWA KUSHIRIKIIANA NA SHIRIKA LA HELPAGE INTERNATIONAL WAMEANDAA MKUTANO WA SIKU MBILI WA KUTATHMINI HUDUMA BORA ZA WAZEE ZANZIBAR KATIKA HOTELI YA OCEAN VIEW.
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua Mkutano wa kutathmini huduma za Wazee Zanzibar ulioandaliwa na Wizara yake kwa ufadhili wa Shirika la HelpAge International katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar. Picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu wa Wilaya za Zanzibar, Madaktari dhamana wa Hospitali kuu za Wilaya, Jumuia ya Wazee na Taasisi za kiraia baadhi ya maofisa wa Wizara ya Afya.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Hoteli ya Giraffe Ocean View yaanda chakula cha mchana kwa watoto yatima na kuwakabidhi zawadi za X-Mass
Watoto wanaolelewa katika Kitu cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, wakiwasili katika eneo la Hoteli ya Giraffe Ocean View, Dar es Salaam juzi baada ya kualikwa kwa ajili ya kupewa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi pamoja na chakula cha mchana. (Na Mpigapicha Wetu).
Watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam, wakijihudumiwa chakula cha mchana juzi kilichoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo jijini ambapo pia walipewa zawadi ya mbuzi, mchele na...
9 years ago
StarTV22 Dec
Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya
Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.
Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.
Naibu Mkurugenzi wa...
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
10 years ago
MichuziTanzania yashiriki katika mkutano wa 68 wa Shirika la Afya Duniani WHO
Katika hotuba yake ameeleza masuala mbalimbali yaliyotekelezwa na yanayoendelea kutekelezwa hususani kufikiwa kwa lengo la milenia la kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano kiwango cha watoto 54 kati ya vizazi hai 1000.
vile vile utekelezaji wa mpango wa Afya ya msingi wa 2007-2017, lengo ni kuimarisha na kuhakikisha huduma za afya...
10 years ago
MichuziMkutano wa Kimataifa wa siku mbili wa amani na Maendeleo endelevu wafanyika zanzibar
5 years ago
MichuziJAFO AZINDUA KITUO CHA AFYA WILAYA YA KITETO, AWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akiongea na watumishi Kituo...