Hukumu yawatia kiwewe wabunge EALA
Makongoro Nyerere
NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR
SIKU chache baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kutoa hukumu ya kukiukwa kwa Ibara ya 50 ya mkataba wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wabunge wa Tanzania wanaoshiriki katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wanakusudia kukutana ili kujadili kwa kina hukumu hiyo.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana, Mbunge wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere alisema kati ya wabunge hao kuna wanasheria watatu ambao watatoa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Wabunge EALA wajadili ushirika
WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya Kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wabunge EALA wafichua mchezo mchafu
WABUNGE saba wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, wamejiondoa kwenye jaribio la kutaka kumuondoa madarakani Spika wa Bunge hilo, Margareth Zziwa, baada ya kubaini kulikuwa na mchezo mchafu nyuma...
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi
11 years ago
Habarileo27 Mar
Wabunge EALA wataka katiba EAC kuangaliwa
WABUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), wamesema kuna umuhimu wa kuangalia upya katiba ya uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutokana na mambo mengi yaliyopo ndani ya katiba hiyo kupitwa na wakati.
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Wabunge EALA wajadili muswada wa vyama vya ushirika
Na Mwandishi wetu
WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya ya kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Isabelle Ndahayo, alisema kuwa wamekutana kuupitia muswada wa sheria kuhusiana na vyama vya ushirika ili sheria watakazozipitisha zisaidie vyama hivyo.
Ndahayo alisema kuwa kukutana kwao kutasaidia nchi zilizokatika jumuiya hiyo kwani sheria hiyo...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Tamko la wabunge Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki EALA — TZ
Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Adam Kimbisa akitoa tamko la wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu sakata la kumvua madaraka spika wa bunge hilo wakati wa Mkutano uliofanyika katikamukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO).Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene.
Katibu wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Shy-rose Bhanji akieleza...
5 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WATOKA NJE YA BUNGE LA EALA WAKIGOMEA MUSWADA WA BANDARI AMBAO HAUNA MASLAHI NA TAIFA
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Wabunge wa Tanzania kwenye bunge la Afrika mashariki wametoka nje ya bunge akigomea kuletwa kwa muswada wa mabadiliko ya sheria za bandari ambao hauna maslahi na taifa letu.
Akiongea nje ya ukumbi wa bunge hilo Mariamu Ussi Yahaya alisema kuwa muswada huo unaotakiwa kuletwa utaounguza mapato ya bandari zetu hivyo hauna maslahi kwa taifa letu.
Alieleza kuwa nchi zenye bandari kwenye jumuiya hiyo ni Tanzania na Kenya hivyo kuletwa kwake ndani ya bunge kwa wakati huu sio...
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
Habarileo18 Dec
Bangi yawatia matatani watatu
WAFANYABIASHARA watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kwa kosa la kukutwa na bangi. Washitakiwa hao ni Abed Khamis (28), Yahaya Milaji (18) na Athumani Hasani (46) ambao walisomewa mashitaka yao jana mbele ya Hakimu Mkazi Christina Lugulu.