Hungary yaaibisha Ulaya kuhusu wakimbizi
Kiongozi wa Austria aishambulia Hungary kwa yale inayowatendea wahamiaji wanaopita nchi hiyo kuelekea kaskazini mwa Ulaya
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Serbia yailaumu Hungary kuhusu wakimbizi
Serbia na Umoja wa mataifa wameilaumu Hungary kwa kitendo cha kupiga mabomu ya machozi
9 years ago
BBCSwahili13 Sep
Wakimbizi 4000 waingia nchini Hungary
Idadi kubwa zaidi ya wakimbizi wanaripotiwa kuingia nchini Hungary siku ya Jumamosi
10 years ago
MichuziPresident Kikwete has sent a congratulatory message to His Excellency János Ãder, President of Hungary on the occasion of the National Day of Hungary
“H.E. János Áder,President of HungaryBudapestHUNGARY
Excellency and Dear Colleague,
On behalf of the people and Government of the United Republic of Tanzania and on my own behalf, I take this opportunity to convey my sincere...
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Madhila ya wakimbizi wanaoelekea Ulaya
Maelfu ya wahamiaji wamekuwa wakikumbana na hatari na hali ngumu wakitaka kufika mataifa ya Ulaya, na hasa Ujerumani.
9 years ago
BBCSwahili22 Dec
Wakimbizi milioni 1 walihamia Ulaya
Idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliongia bara Ulaya kwa kutumia njia za nchi kavu na bahari mwaka huu, imepita milioni moja.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Guteres aomba wakimbizi waruhusiwe Ulaya
Kamishna wa Umoja wa Mataifa ameyaomba mataifa ya Ulaya kuwakubali wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Syria, Iraq na Afghanistan.
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
Ulaya kugawana wakimbizi 120,000
Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wameahidi kutumia mfumo mpya ya kugawana wakimbizi baina ya nchi za muungano wa ulaya.
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
UNHCR yaonya kuhusu ongezeko la wakimbizi
UNHCR imesema idadi ya wakimbizi wanaolazimishwa kuondoka makwao kwa sababu ya vita imeongezeka sana mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili13 May
Hofu yazuka kuhusu hali ya wakimbizi Thai
Hofu inazidi kuibuka kuhusua maisha ya wahamiaji 350 wa Asia, wakiwemo zaidi ya watoto themanini, ambao wamekwama baharini Thailand
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania