Huu ndio ujumbe wa Diamond kwa Raymond na Fahyma
Diamond aibariki familia mpya ya msanii wa WCB,Rayvanny ambaye amepata mtoto wake wa kwanza wiki hii.
Ni furaha kuitwa baba au mama hasa katika kipindi ambacho ulichokuwa ukikisubiria kwa hamu. Wawili hao wamefanikiwa kupaa mtoto wa kiume ambaye wamempatia jina la Jayden.
Kupitia mtandao wa Instagram, amewapongeza Ray na Fahyma kwa kuandika, “Congrats @rayvanny & @Fahyma_ on your first Born!… Inshaallah, Mwenyez Mungu awape Baraka, awalindie na wajalie kila lenye kheri ili Mumkuze vyema...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Dec
Mashabiki wanahisi ujumbe huu wa Diamond ni dongo kwa Wema!
10 years ago
Bongo Movies17 Nov
Huu ndio ujumbe wa mwanadada Jennifer Kyaka - Odama asubuhi ya leo.
Kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, mwanadada Odama ametoa ujumbe huu kwa watu wote asubuhi ya leo
"...Natafakari zab.116:12 "Nimrudishie nini Bwana kwa Ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo? Tena ni Ndugu wangapi nilianza nao Mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao? Nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua? Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Ukiweza chota nawe...
10 years ago
Bongo Movies13 Aug
Huu ndiyo Ujumbe wa JB Kwa Wachepukaji
Kadri unavyo jitahidi kuitunza na kuijali nyumba ndogo...ndivyo unavyo hatarisha ndoa yako..Sababu namba mbili wote hutamani kuwa namba moja..Tafakari chukua hatua...Michepuko sio dili....
By Jacob Stephen ‘JB’ @ jb_jerusalemfilms on instagram
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!