Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki wanahisi ujumbe huu wa Diamond ni dongo kwa Wema!

Diamond Platnumz anafahamika kwa kushow love kwa kazi za wasanii wenzake kwenye Instagram. Mmoja wa wasanii walionufaika na shavu lake ni Shilole ambaye anapromote kava la single yake mpya ‘Malele’. Akiweka picha hiyo, Diamond aliandika: “Moja ya mfano mzuri tulionao Nchini…wakati anaanza kila mtu alimdharau na kumuona hatofika popote laikini leo hii Huwezi kuskia show […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KUBALI USIKUBALI, MWANA YA ALIKIBA NI DONGO KWA DIAMOND, USHAHIDI HUU HAPA.

BONGOCLAN.CO.TZ DIAMONDHUU HAPA UTHIBITISHO.Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,
Hapa Alikiba, anamwambia Diamond, nyumbani ( SHAROBARO RECORDS) kuna kila kitu, beats kali, management nzuri and all that, kitu gani kilimkimbiza SHAROBARO RECORDS?Ona babio mamio wote wanakulilia,HAPA ALIKIBA ANAMAANISHA, SHAROBARO RECORDS, WAKIONGOZWA NA BOB JUNIOR, WOTE WANAMLALAMIKIA DIAMOND KWA KITENDO CHAKE CHA KUKIMBIA KUFANYA KAZI SHAROBARO. (BOB JUNIOR ALIPIGA KELELE SANA DIAMOND ALIPOKIMBIA SHAROBARO RECORDS )Mtoto...

 

10 years ago

Bongo Movies

"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.

Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.

 

Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.

Hivi ndivyo maelezo...

 

5 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Diamond kwa Raymond na Fahyma

Diamond aibariki familia mpya ya msanii wa WCB,Rayvanny ambaye amepata mtoto wake wa kwanza wiki hii.

Ni furaha kuitwa baba au mama hasa katika kipindi ambacho ulichokuwa ukikisubiria kwa hamu. Wawili hao wamefanikiwa kupaa mtoto wa kiume ambaye wamempatia jina la Jayden.

Kupitia mtandao wa Instagram, amewapongeza Ray na Fahyma kwa kuandika, “Congrats @rayvanny & @Fahyma_ on your first Born!… Inshaallah, Mwenyez Mungu awape Baraka, awalindie na wajalie kila lenye kheri ili Mumkuze vyema...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond awakera baadhi ya mashabiki kwa video hii wenye ujumbe wa utata!

12346103_935990829789896_1219420600_n

Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?

Yes, kitakachotokea ni kile mtu na mpenzi wake wakikutana kitandani hufanya – they make love!

Lakini Diamond amewakera baadhi ya mashabiki wake baada ya kupost video hiyo juu na kuandika: Jus love my Uganda’s Room….Can’t wait for the Dirty game with mama tee here lol!

Tembelea kwenye ukurasa wake wa Instagram ujisomee...

 

9 years ago

MillardAyo

Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram

Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’. Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita […]

The post Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram appeared first on...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe Huu wa Wema Uwafikie Wanawake Wote

“Kelele kelele kama kengele za nini? The only business worth minding is your own. Mwanamke fanya yako kwa maendeleo yako”.-Wema Sepetu

Ameandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

 

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WAUMIZWA NA UJUMBE WA WEMA SEPETU KUWA HANA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA

Mrembo Wema Sepetu. MASIKITIKO! Baada ya mrembo Wema Sepetu kutupia ujumbe kupitia mtandao wa Instagram kuwa si kwamba hapendi kuzaa bali hana uwezo wa kufanya hivyo mashabiki wake wengi wameonekana kuumizwa na taarifa hiyo. Wengi wa mashabiki wameonekana kumpa ple Wema na kumtia moyo kuwa ipo siku naye atapata mtoto na kuitwa mama. Wema aliamua kuandika ujumbe huo baada ya kushambuliwa na baadhi ya mashabiki wasiomtakia mema...

 

9 years ago

Bongo5

Rick Ross na mchumba wake Lira Galore wadaiwa kurudiana, mashabiki wanahisi ilikuwa ni ‘Kiki’

rozay n lira

Wiki iliyopita zilienea taarifa za kuvunjika kwa uchumba kati ya Rick Ross na Lira Galore, baada Lira kuonekana akitoka nyumbani kwa rapper huyo akiwa hajavaa pete ya uchumba, na baadae Rozay naye alipost video Snapchat akiwa ameshikilia pete hiyo kitu kilichotoa uthibitisho kuwa huenda kweli uchumba umevunjika.

lira3

Lira ambaye aliwahi kuwa stripper jana amepost video mpya kwenye akaunti yake ya Snapchat ambayo inaonesha amevaa pete ile ile, na hakuwa peke yake, alikuwa na Rozay ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani