Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujumbe Huu wa Wema Uwafikie Wanawake Wote

“Kelele kelele kama kengele za nini? The only business worth minding is your own. Mwanamke fanya yako kwa maendeleo yako”.-Wema Sepetu

Ameandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

 

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mashabiki wanahisi ujumbe huu wa Diamond ni dongo kwa Wema!

Diamond Platnumz anafahamika kwa kushow love kwa kazi za wasanii wenzake kwenye Instagram. Mmoja wa wasanii walionufaika na shavu lake ni Shilole ambaye anapromote kava la single yake mpya ‘Malele’. Akiweka picha hiyo, Diamond aliandika: “Moja ya mfano mzuri tulionao Nchini…wakati anaanza kila mtu alimdharau na kumuona hatofika popote laikini leo hii Huwezi kuskia show […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe wa Lulu Kwa Kinamama Wote

Ikiwa leo ni siku ya kinamama  ‘Mother's Day’, mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ametoa ujumbee huu ajili ya mama yake na kina mama wote.

"Kuna wakati wazazi wetu hasa mama zetu wanabeba maumivu yetu zaidi hata ya sisi ambao ni wahusika...!
Namshukuru Mungu kwa kunipa mama anayejivunia kunipata mimi kama mtoto wake ma kuyabeba mambo yangu mengi zaidi ya mimi mwenyewe....Ombi Langu kubwa kwa Mungu ni afya na maisha marefu zaidi sio kwa mama yangu tu lakini kwa kile...

 

11 years ago

Michuzi

Ujumbe kwa wanachama, wadau na waandishi wote wa mkoa wa Mbeya.

Ndugu wanachama, Wadau na wandishi wote wa Habari,   Kuna ujumbe unaozunguka miongoni mwetu, kwa wandishi wa habari wasiokuwa wanachama na kwa wadau wetu ukieleza kwamba Mbeya Press Club (MBPC) imeandaa safari ya wanachama wake kutembelea nchi Jirani ya Malawi.  Ujumbe huu unawataja baadhi ya wanachama wa MBPC kuwa ndio waratibu wa Safari hiyo, huku ukiwataka wanachama na wadau kuchangia safari hiyo fedha kiasi cha shilingi 200,000 (Laki mbili) kwa kila mwanachama na mwandishi wa habari...

 

11 years ago

TZToday

UJUMBE WA KICHUNGAJI WA PASAKA 2014 KWA WAAMINI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA

UJUMBE WA KICHUNGAJI WA PASAKA 2014

KWA WAAMINI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA


“Sote tuwe na Umoja” (rej. Yn 17:21)
UTANGULIZI:
Ndugu wapendwa, tunapohitimisha kipindi cha Kwaresima kilichokuwa na ujumbe: “Ukweli utawaweka huru” (Yn. 8: 32), tunawaletea ujumbe wa “Umoja” ili kuongeza msisitizo kwenye ujumbe wetu wa Kwaresma. Tunaitwa kukubali kuwa umoja ni ukweli msingi wa kila mafanikio ya jumuiya ya mwanadamu.

Ufufuko ni Pasaka inayomaanisha kivuko au kupita kwa Wayahudi...

 

10 years ago

Vijimambo

HUU NI UJUMBE WANGU KWAKO

UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.

 

11 years ago

CloudsFM

ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

Umoja wa Mataifa umeelezea ghadhabu kutokana na Fatwa iliyotolewa na Kundi la wapiganaji wa Kiislamu wa ISIS ya kuwataka wanawake wote waliozidi umri wa miaka 11 kukeketwa.
Afisa wa shirika la umoja wa mataifa nchini Iraq ,Jacqueline Badcock ameonya kuwa agizo hilo la kidini ama Fatwa itawaathiri zaidi ya wanawake milioni nne kati ya umri wa miaka 11-46.

ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.
Bi Badcock alisema kuwa utamaduni huo ni jambo geni sana nchini Iraq na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani