Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huu ndio ujumbe wa mwanadada Jennifer Kyaka - Odama asubuhi ya leo.

Kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, mwanadada Odama ametoa ujumbe huu kwa watu wote asubuhi ya leo

"...Natafakari zab.116:12 "Nimrudishie nini Bwana kwa Ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo? Tena ni Ndugu wangapi nilianza nao Mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao? Nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua? Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Ukiweza chota nawe...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Hizi ndio salamu za birthday alizopata mwanadada kajala leo toka kwa mastaa mbalimbali

Leo hii mwanadada Kajala Masanja anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kama ilivyo ada mastaa na watu mbalimbali wamepa salam za pongezi mwanadada huyo mrembo wa bongomovies. Hizi ni baadhi tu ya salamu chache tulizoweza kuzipata.

 

BATULI: Happy birthday bint wa Masanja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema, Born day yako imeangukia kwenye kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan, Ingawa ww c muislam ila support kwa vitendo ili uwe miongoni mwa wenye rehma za Mwenyezi Mungu,...

 

5 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Diamond kwa Raymond na Fahyma

Diamond aibariki familia mpya ya msanii wa WCB,Rayvanny ambaye amepata mtoto wake wa kwanza wiki hii.

Ni furaha kuitwa baba au mama hasa katika kipindi ambacho ulichokuwa ukikisubiria kwa hamu. Wawili hao wamefanikiwa kupaa mtoto wa kiume ambaye wamempatia jina la Jayden.

Kupitia mtandao wa Instagram, amewapongeza Ray na Fahyma kwa kuandika, “Congrats @rayvanny & @Fahyma_ on your first Born!… Inshaallah, Mwenyez Mungu awape Baraka, awalindie na wajalie kila lenye kheri ili Mumkuze vyema...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WAKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA GUANG DONG WA NCHINI CHINA LEO ASUBUHI WIZARANI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha Ndege cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing (kushoto), akimpatia zawadi Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi baada ya ugeni huo kukutana na uongozi wa Wizara ya Uchukuzi leo asubuhi.
 Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing wakati ujumbe huo...

 

10 years ago

Vijimambo

HUU NDIO UKURASA WA FACEBOOK WA MISS TANZANIA SITTI MTEMVU UNAVYOSOMEKA LEO

Juhudi zinaendelea kuwatafuta waandaaji wa Miss Tanzania ili waweze kuthibitisha habari hizi

 

9 years ago

MillardAyo

Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz)

Leo Dec 25 ni siku ambayo Wakristo wa mataifa mbalimbali huisherehekea kama siku ya Christmas, Tanzania pia ikiwa ni miongoni mwa nchi hizo. Ingawa tumezoea kuona shamrashamra nyingi katika siku kama hii kwa maeneo mengi, hapa ripota wa millardayo.com anakusogezea picha kadhaa kutokea Mkoani Tanga hali inavyoonekana kwa siku hii ya leo. Unataka kutumiwa MSG za […]

The post Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz) appeared first on...

 

11 years ago

Bongo Movies

Huu ni ujumbe wa Kajala kwenda kwa mtoto wake leo kwenye siku ya kuzaliwa kwa binti yake huyo.

Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani