Huu Ndio Wito Mpya wa Wema kwa Wanaomsakama
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewataka watu wanomsakama kwa maneno waache apumzike kufanya hivyo kwani yeye ni binadamu kama ilivyo kwa wengine na anaumia kama wanavyoumia wengine.
Akiongea na gazeti la Mwananchi, We alikuwa akizungumzia ujumbe aliouandika hivi karibuni katika mtandao wa Instagram kuhusu kutopata mtoto, anasema kuna watu hawajali maumivu yake ndiyo maana kila kukicha wanamkashifu.
“Watu hao hawawezi kutafuta jema langu na kunisifu, kazi yao kunisanifu na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Huu Ndio Wito wa Mtunis kwa Watanzania Waishio ‘SAUZI’
Utani Kidogo: Kufuatia kile kinachoendelea kule Afrika Kusini, na tamko la waziri wa mambo ya nje wa hapa Tanzania, Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’ ameandika hii kwenye kukursa wake mtandaoni
"Haya jamani wale wenzangu na mimi ambao mumekaa muda mrefu huko SOUTH AFRICA na ukajikuta hata nauli ya kurudia NYUMBANI huna mbaya zaidi hata sababu ya kujitetea muda wote huo umekaa huko huna ulichokifanya mungu keshashua neema yake ni kiasi tu cha kwenda pale kwenye ile KAMBI YA...
10 years ago
CloudsFM13 Apr
Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo
Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.
Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Baada ya kuandika maneno hayo msanii wa filamu za Kibongo,Riyama Ally alimtia moyo na kumwambia hivi…. naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa...