HYUNDAI yashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mitambo ya Ujenzi.
Meneja Mauzo wa Hyundai, Bw. Alen Nkya (kushoto) akijadiliana na Meneja Mradi wa Dangote Industries, Mhandisi Markus Abayo (kulia) kuhusu mitambo ya ujenzi ya kisasa katika Mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia uliofanyika Nairobi. Anayeshuhudia (katikati) ni Afisa Mikopo wa Hyundai, Bw. Manase Mpayo. Dangote Industries wanatumia mitambo ya Hyundai Excavator, Wheel Loader na Forklift katika miradi ya cement, n.k.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTTCL YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA WADAU WA MAWASILIANO
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na tekinolojia, Selina Lyimo akimkabidhi cheti cha shukrani, Mkuu wa Idara ya Mkongo wa Taifa, wa Kampuni ya TTCL, Adin Mgendi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa ya siku mbili ya wadau wa mawasiliano wa mkongo huo iliyoanza jijini Dar es Salaam Julai 28, 2015.Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na tekinolojia, Selina Lyimo akimkabidhi cheti cha shukrani, Meneja...
11 years ago
MichuziTanzania yashiriki Mkutano wa Baraza la Michezo la Kimataifa (General Assembly and Congress of the International Military Sports Council - CISM)
Na Luteni Kanali Juma Sipe
(PA, Marekani).
Tanzania imeshiriki Mkutano wa Baraza la Michezo la Kimataifa (General Assembly and Congress of the International Military Sports Council -CISM) uliofanyika Mjini Quito, Equado America ya Kusini kuanzia tarehe 05-09 Mei, 2014.
Mkutano huo ulijadili na kuendelea kusikilizana ushiriki wa majeshi katika Michezo ya Kimataifa chini ya Kaulimbiu ya Baraza hilo isemayo Urafiki kupitia Michezo (Friendship through sports), msisitizo ukiwa katika kutumia...
9 years ago
MichuziVETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015
Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mosa; teknolojia ya usafi wa majengo, mitambo iliyoibuliwa na Mtanzania
Kila kukicha watu wamekuwa wakibuni mambo mbalimbali, njia ambayo inasaidia kuharakisha maendeleo.
10 years ago
VijimamboRAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika...
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika...
11 years ago
MichuziNSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA
Muuguzi, Elionora Mmasi akiwapima wanachama wa NSFF waliotembelea banda lao wakati wa maonesho ya pili ya kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.
Baadhi ya watu waliofika katika banda la NSSF wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Shirika hilo kuhusu Fao la Matibabu wakati wa maonesho ya pili wa kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.
10 years ago
MichuziAICC YASHIRIKI MAONESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (SABASABA)
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kimeshiriki maonesho ya 39 ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) ili kuelezea umma juu ya shughuli zake mbalimbali ikiwemo masuala ya uendeshaji wa mikutano. AICC ilielezea pia uwepo wa kituo chake cha Mikutano kwa Mkoa wa Dar es Salaam kijulikanacho kama Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) chenye kumbi zenye uwezo wa kuhudumia wageni 10-1000. Mbali na masuala ya mikutano AICC pia iliweza kuwaelezea wadau...
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN
Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.Waziri wa Kilimo na Mifugo wa Oman Dkt. Fuad bin Jaafar al Sajwan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonesho ya Mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kulia akibadilishana mawazo na mmmoja ya Wajasiriamali kutoka Tanzania anayeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania