I DESERVE BETTER THAN THIS, MUOGOPENI MUNGU KAMPENI ZA NAMNA HII HAZITUFAI - Idd Sandaly
Jamani Watanzania wenzangu nimesikitishwa timu ya Libe na kampeni zake za uchochezi,uongo na kashfa juu yangu mimi Idd Sandaly. Najua Watanzania wenzangu tupo pamoja tangia mliponichagua kuwa Rais wa Jumuiya ya DMV na nashukuru sana kwa ukaribu na ushirikiano mnaoendelea kunipa. Kashfa, uongo wa kutunga bila hata kumuogopa Mungu kutoka upande wa kambi ya Libe si kwamba zinanichafulia jina bali nimezileta hapa leo mjionee wenyewe kwani nyie ndio wapiga kura na nani mnayemtaka awe Rais wenu ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi16 Feb
MSIKILIZE RAIS WA WATANZANIA DMV IDD SANDALY AKIONGEA LIVE NA WANADMV
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/tbX8v4BN_g8/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TZPhfrsjNXU/UwyXwdMp_PI/AAAAAAAFPd8/YM1-mvUx4Oc/s72-c/IMG_3879.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T2SCZuk-SIk/VPaqCnt59vI/AAAAAAAHHbc/qB6dz_mZacI/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMENYANYASWA NA MWAJIRI, HII NI NAMNA YA KUMFUNGULIA MASHTAKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-T2SCZuk-SIk/VPaqCnt59vI/AAAAAAAHHbc/qB6dz_mZacI/s1600/law_5.jpg)
Makuzi ya biashara hasa biashara za kimataifa yameleteza utitiri wa makampuni. Karibia kila biashara kubwa au ya kati kwa sasa hufanywa na makampuni. Baadhi ya ndani na mengine ya nje.
Hatua hii njema kwa kiasi fulani imeongeza ajira japo ajira zenyewe hazina vigezo vya kuitwa ajira. Yatosha ziitwe kazi tu. Ajira hizi ambazo nyingi ni za umanamba zimekuwa zikifanywa na wazawa. Upande mmoja zimekuwa neema na upande mwingine zimekuwa laana.
Ni neema kwakuwa baadhi...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uDuclmITuZY/UvSdYK5Ud8I/AAAAAAAFLig/TTPHasJgDxA/s72-c/1010976_10151844503966682_1262465548_n.jpg)
TFF INAWACHUKULIA HATUA GANI KWA WATU WA NAMNA HII.
![](http://3.bp.blogspot.com/-uDuclmITuZY/UvSdYK5Ud8I/AAAAAAAFLig/TTPHasJgDxA/s1600/1010976_10151844503966682_1262465548_n.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-DilusEJ7Go0/UvSdYLlRi5I/AAAAAAAFLic/3abb-d9ghpU/s1600/1622713_10151844503951682_652711702_n.jpg)
Ni mimi Mdau wa Soka la Bongo.
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-ZuEdMJJJ-po/VDvRfLENGoI/AAAAAAAAcVY/OCOyh4iUVCk/s1600/mapenzi%2Bya%2Bmungu.jpg)
FILAMU YA MAPENZI YA MUNGU KUINGIA SOKONI WIKI HII
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Madee-crop-1.gif)
IDD MOSI HII DAR LIVE | MADEE, NATURE, MZEE YUSUF KUWASHA MOTO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CFDlbSxUzfw/VPjKepKPcEI/AAAAAAAHH-U/KfB8SBR_1YY/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CFDlbSxUzfw/VPjKepKPcEI/AAAAAAAHH-U/KfB8SBR_1YY/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwa na shida sana hasa kwa upande wa wanaume kuwatelekeza watoto. Mara nyingi wanaume ndio hutelekeza watoto kuliko wanawake. Zipo baadhi ya kesi zimeripotiwa zikihusisha wanawake kuwatelekeza watoto lakini hizi si nyingi kama ilivyo kwa wanaume. Hii ni kwasababu uwezekano wa mwanaume kumkimbia mtoto ni mwepesi kuliko mwanamke kumkimbia mtoto/watoto. Jambo hili ni baya na limeshakemewa na sheria mbalimbali. Nataka...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j0RDaybMzfI/VLw55EC4jxI/AAAAAAAG-Og/GasBT-RQtrU/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA HII NI NAMNA YA KITAALAM YA KUJUA ENEO UNALONUNUA KAMA LINA MGOGORO AU HAPANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-j0RDaybMzfI/VLw55EC4jxI/AAAAAAAG-Og/GasBT-RQtrU/s1600/images.jpg)
Na Bashir Yakub
Makala zilizopita nilieleza mambo au taarifa muhimu zinazopaswa kuwa kwenye mkataba wako unapokuwa unanunua nyumba/kiwanja. Nikasema katika niliyosema kuwa mkataba lazima uoneshe ukitokea mgogoro utatatuliwa vipi, ueleze kuwa utapotokea mgogoro muuzaji lazima awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano mnunuzi ili kumaliza mgogoro huo na kuwa muuzaji kama ana mke basi mke wake ni lazima aandaiiwe nyaraka iitwayo ridhaa ya mwanandoa ambayo ni...