Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDADI YA MAAMBUKIZO CORONA NCHINI MREKANI YAFIKIA LAKI SABA
















Idadi ya watu waliombukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imepindukia laki saba huku idadi ya wanaoaga dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 ikiongezeka kwa kasi nchini humo.











Takwimu za hivi punde zinaonyesha kuwa, watu 710,272 wameambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani huku 37,175 wakiaga dunia na kuifanya nchi hiyo kuwa ndio iliyoathiriwa zaidi na virusi hivyo duniani.
Italia inashika nafasi ya pili kwa idadi kubwa ya watu walioaga dunia kwa virusi vya Corona ambapo hadi sasa watu 22,745...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya wagonjwa Zanzibar yafikia saba

Mamlaka ya kisiwani Zanzibar, imetangaza kuwa na maambukizi mapya ya wagonjwa wawili wenye maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya waliopona corona Kenya yafikia 553

Wagonjwa 54 wa virusi vya corona wamethibitishwa kupona nchini Kenya , ikiwa ndio idadi kubwa zaidi kutangazwa kwa siku

 

5 years ago

CCM Blog

IDADI YA WAGONJWA WA CORONA TANZANIA YAFIKIA 480

   Na.WAMJW,DodomaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona nchini ambapo amesema kuwa kuna maambukizi mapya ya ugonjwa huo kwa watanzania 196 ambapo kati yao; kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla ya watu waliopata maambukizi kuwa ni 480.
Aidha,Waziri Majaliwa amesema kuwa idadi ya wagonjwa waliopona imeongezeka kutoka 48 hadi kufikia 167, (Zanzibar wako 36, Bara ni 83).
Hali kadhalika vifo 6 vimetokea na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Idadi ya walioambukizwa virusi vya corona yafikia 70 Rwanda

Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 siku ya Jumapili na kufikia 70.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya walioambukizwa Kenya yafikia 535

Kenya yarekodi idadi kubwa ya walioambukizwa corona kwa siku

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vy corona: Idadi ya vifo yafikia 100,276 Marekani

Trump alikuwa amesema kwamba virusi hivyo ni homa ya kawaida na kwamba ingeisha ifikiapo mwezi Aprili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliothibitishwa kuwa na corona Kenya yafikia 2,862 , wagonjwa wapya 95 wakiripotiwa kuambukizwa

Idadi ya wagonjwa wapya Kenya ni 95 huku watu 98,439 wakipimwa corona kufikia leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani