Idadi ya waliokufa kwa Ebola yaongezeka
Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Ebola imeongezeka maradufu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili15 Aug
Idadi ya waliokufa China yaongezeka
Idadi ya watu waliouawa kwenye milipuko mikubwa katika bandari ya Tinjian nchini China siku ya Jumatano imeongezeka hadi watu 85
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdY0zYf7SowF31-PWm0*ljPWMmqjoYdk9L6ReWhJjg8HgBf08cBvLbGsfjh4EPo1ZtIwFuLA72ICHI0a3bvU2B8*/EBOLA.jpg?width=650)
IDADI YA WALIOKUFA KWA EBOLA YAFIKIA 1,350
Mgonjwa wa Ebola akipelekwa eneo maalum kwa matibabu nchini Sierra Leone. Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Ebola huko Afrika Magharibi mpaka sasa imefikia 1,350 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Afya Duniani (WHO) huku watu 106 wakiripotiwa kufariki kati ya Agosti 17-18 mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Idadi ya wanaojifungua kwa upasuaji yaongezeka
 Idadi ya wajawazito wanaojifungua kwa njia ya upasuaji nchini imeongezeka kwa asilimia 31 katika kipindi cha miaka 11.
10 years ago
CloudsFM14 Jan
Idadi ya wanaojifungua kwa upasuaji yaongezeka
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Agnes Mtawa alisema hayo jana katika kongamano lililohusu magonjwa ya wanawake.
Alisema takwimu hizo zinaonyesha kuwa mwaka 2000 waliojifungua kwa njia hiyo walikuwa ni asilimia 19, lakini ilipofika mwaka 2011 walifikia asilimia 50.
Alisema tafiti zinatakiwa kufanyika ili kubaini chanzo.
Mtawa alisema licha ya...
9 years ago
VijimamboTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - IDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV1Kn-Hvgcv5ui95TDYzrtjvyfOrBmlM2dTP5pITf-ro7MkfyVuqWUtgA9owYaRsFyMv*cTLARed1-jBp3AcZbyj/EBOLADEATH.jpg)
WHO: WALIOKUFA KWA EBOLA WAFIKIA 8,795
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetoa takwimu mpya za ugonjwa wa Ebola ambapo mpaka sasa watu 8,795 wamefariki huku 22,057 duniani kote wakiwa wameambukizwa virusi vya ugonjwa huo. Katika takwimu hizo, nchi ya Sierra Leone ina jumla ya watu 10,518 wenye virusi vya Ebola, Liberia watu 8,622 na Guinea 2,917. Nchi nyingine ambazo maambukizi yake yapo chini ni Nigeria yenye maambukizi ya watu 20 huku vifo vya watu nane...
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Sierra L. kuwafidia waliokufa kwa Ebola
Serikali ya Sierra Leone imesema italipa fidia kwa familia ya kila mfanyakazi wa afya ambaye amefariki baada ya kuambukizwa Ebola
10 years ago
Habarileo14 Oct
Idadi ya waliofia ziwani yaongezeka
IDADI ya watu waliokufa katika ajali ya boti iliyotokea juzi katika Ziwa Tanganyika na wengine zaidi ya 70 kunusurika wakiwemo bwana na bibi harusi waliookolewa wakitoka kufunga ndoa, imeongezeka na kufikia kumi.
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Idadi ya wakimbizi yaongezeka duniani
Shirika la UNHCR, linasema idadi ya watu waliopoteza makao yao na kufanywa wakimbizi kutokana na vita ilipita milioni hamsini mwaka jana.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania