IDD AZAN AITEKA KINONDONI

Idd Azan (katikati), akikatiza Mitaa ya Mkwajuni wakati akielekea kwenye mkutano wake wa kampeni  uliofanyika katika Kata ya Hananasifu, jana jioni. Azan akiteta jambo na Hassan Dalali, mjumbe wa CCM, Kata ya Hananasifu.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
IDD AZAN na Jumaa Mhina 'Pijei' wachukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni na Kawe


10 years ago
GPL
IDD AZAN KUWA MLEZI WA KIJITONYAMA FITNESS CLUB
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Idd Azzan aanguka Kinondoni, Cuf yachukua
10 years ago
Vijimambo
IDD AZZAN APIGWA CHINI KINONDONI, CUF YACHUKUA

Wimbi la vyama vya upinzani kushinda ubunge jijini Dar es Salaam limeendelea baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika jimbo la Kinondoni, akimshinda mgombea wa CCM, Idd Azzan.
Akitangaza matokeo hayo usiku wa kuamkia leo, msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo ambaye pia ni mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty amesema, Mtulia amepata kura 70, 337 huku Azzan aliyekuwa anatetea kiti chake akipata...
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB
10 years ago
Habarileo31 Jul
Azan ajigamba kutekeleza ahadi
MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wana CCM kumpigia kura ya maoni, kupeperusha bendera ya chama hicho kwa mara ya tatu alete maendeleo.
5 years ago
CCM Blog
IDD HAMAD IDD AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR


11 years ago
Dewji Blog28 Jul
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZINDUA MPANGO WA KUWAINUA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SANAA UJULIKANAO KINONDONI TALENT SEARCH