Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDDI BONGE AJIANDAA KUMKABILI MWAKASANGA MARCH 23

Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoendelea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese, mazoezi hayo katika klabu ya biafra iliyopo kigogo Mbulahati Dar es salaam.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MANNY CHUGA AJIANDAA KUMKABILI SELEMANI MOTTO MARCH 23



Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto  akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga ngumi kwa shabaha wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam 

Kocha wa mchezo wa ngumi Waziri Chara (kushoto ) akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga'  jinsi ya kupiga begi wakati wa mazoezi yake...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA IDDI BONGE NA ALIPHONCE MCHUMIATUMBO KUZIPIGA FEB 14

NA MWANDISHI WETU
MABONDIA wenye uzito wa juu nchini Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu 'Iddi Bonge' watapambana Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba wakigombania ubingwa wa taifa pamoja na pikipiki akizungumzia mpambano huo promota Shabani Manyoka amesema kupitia kampuni ya Mahamba Incorporation Limited wameamua kuandaa mpambano huo wa uzito wa juu ambao ni admu sana nchini kufanyika na ndio mabondia wanaokubalika Duniani kote

mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Cheka ajiandaa kumtwanga Mashali

FRANCISI-CHEKA-PIX-NO-011NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, ameingia mafichoni kujiandaa na pambano lisilo la kuwania ubingwa la raundi 12  dhidi ya Thomas Mashali lililopangwa kufanyika Desemba 25, mwaka huu katika Uwanja wa  Jamhuri, mjini Morogoro.

Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema  kwa kuwa Mashali ameanza kumtangazia vita hadharani ameamua kuanza maandalizi mapema ili aweze kumpiga katika raundi za mwanzo.

Cheka alisema amepania kuweka historia mpya ...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiandaa kutoa siri nzito

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana hakuhudhuria mkutano wa kampeni za ubunge mjini Arusha kwa maelezo kuwa anajiandaa kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzanian Film at AFI (March 17, March 19)

WHITE SHADOW; Tuesday, March 17, 7:00 PM; Thursday, March 19, 5:15 PM

This is the story of Alias, a young albino boy on the run. After witnessing his father's murder, Alias' mother sends him away to find refuge in the city, far from the witch doctors who offer thousands of dollars for albino body parts. He is brought to the care of his uncle Kosmos, a truck driver struggling with a few small businesses. In the city, Alias is a quick learner, selling sunglasses, DVDs and mobile phones. He is...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani