MANNY CHUGA AJIANDAA KUMKABILI SELEMANI MOTTO MARCH 23
Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga ngumi kwa shabaha wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam
Kocha wa mchezo wa ngumi Waziri Chara (kushoto ) akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga begi wakati wa mazoezi yake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLIDDI BONGE AJIANDAA KUMKABILI MWAKASANGA MARCH 23
10 years ago
TheCitizen08 Dec
Live up to police motto
11 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboKIPINDI CHAKO CHA MADA MOTTO
o watch madamotto every day show go to www.madamottotvshow.comfacebook: madamottotvshowtwitter: madamottotvshow
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Siri ya motto aliyeibwa Dar yafichuka
Mama mzazi wa Marylin Repyson (kulia), Elida Fundi, akiwa amembeba mwanawe huku akiomba jana baada ya kuwasili nyumbani kwake Changanyikeni jijini Dar es Salaam. Picha na Fidelis Felix.
Aziza Masoud na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
HATIMAYE kinara wa wizi wa watoto jijini Dar es Salaam, Amir Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa mkoani Tanga.
Juma anadaiwa kumuiba mtoto, Merlin Repyson (4) katika eneo la Changanyikeni siku nane zilizopita.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa...
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Motto: CCM inaponzwa na walafi, wapenda madaraka
11 years ago
GPLMBUNGE SELEMANI SAID JAFO ASIYEHOFIA UCHAGUZI UJAO