Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE SELEMANI SAID JAFO ASIYEHOFIA UCHAGUZI UJAO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimnadi Seleman Said Jafo wakati wa kampeni za uchaguzi. KWA wabunge wengi wanaomaliza muda wao wa miaka mitano ya kuwatumikia wananchi wao baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu uliopita, wakati muda ukizidi kuyoyoma, matumbo yao yako moto kwa hofu ya kutojua majaaliwa yao, kama watarejea tena mjengoni au la. Mbunge wa Kisarawe mkoani Pwani, Seleman Said Jafo. Lakini hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA

 Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo akipata maelezo kutoka kwa kaimu meneja mafao wa LAPF Bw. Amani Sindato akionyeshwa mafaili ya wanachama wanaostaafu mwezi januari 2016 lakini wameshaandaliwa mafao yao. Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo  akionyeshwa orodha ya wanachama wanaotarajia kustaafu miezi sita ijayo na Afisa mafao mwandamizi Bw. Franklin Boga. LAPF huwatambua wanachama hao mapema ili...

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Marekani 2020: Trump adaiwa kuomba usaidizi wa rais Xi Jinping kushinda uchaguzi ujao

Msaidizi wa zamani wa Trump John Bolton aandika kitabu kinachomtuhumu Trump katika masuala mbalimbali ya kisera na utendaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali Kumi kwa Mbunge wangu: Suleiman Jafo

Kwanini Zahanati ya Kisanga haifunguliwi? Na wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata vifaa?

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa DA kutogombea uchaguzi ujao

Kiongozi cha chama cha upinzani nchini Afrika Kusini Helen Zille amesema hatagombea kwenye uchaguzi ujao wa chama hicho

 

10 years ago

Raia Mwema

Uchaguzi ujao na marufuku ya wanamgambo wa vyama

ZIMEBAKI siku takribani 90 kabla ya Uchaguzi Mkuu utakaowawezesha Watanzania kupiga kura.

Maggid Mjengwa

 

10 years ago

Habarileo

Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti kuhusu uchaguzi ujao ni halisi?

Utafiti uliofanywa na Taasisi huru ya TWAWEZA kuelekea uchaguzi mkuu ujao nchini Tanzania umepokelewa kwa hisia tofauti

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani