Uchaguzi ujao na marufuku ya wanamgambo wa vyama
ZIMEBAKI siku takribani 90 kabla ya Uchaguzi Mkuu utakaowawezesha Watanzania kupiga kura.
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Uchaguzi Marekani 2020: Trump adaiwa kuomba usaidizi wa rais Xi Jinping kushinda uchaguzi ujao
Msaidizi wa zamani wa Trump John Bolton aandika kitabu kinachomtuhumu Trump katika masuala mbalimbali ya kisera na utendaji.
11 years ago
GPL
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini. Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyamavya Kijamii ni...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kiongozi wa DA kutogombea uchaguzi ujao
Kiongozi cha chama cha upinzani nchini Afrika Kusini Helen Zille amesema hatagombea kwenye uchaguzi ujao wa chama hicho
11 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyama vya Kijamii ni pamoja na kutolipa ada za mwaka kwa wakati na kutowasilisha kwa...
10 years ago
Habarileo07 Apr
Kusafirisha wafuasi wa vyama marufuku Zanzibar
POLISI Visiwani Zanzibar imepiga marufuku vyama vya siasa kusafirisha wafuasi na wanachama wake kutoka wilaya moja kwenda nyingine kuhudhuria mikutano ya hadhara ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kudhibiti vurugu za kisiasa kwa wafuasi kushambuliana.
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Utafiti kuhusu uchaguzi ujao ni halisi?
Utafiti uliofanywa na Taasisi huru ya TWAWEZA kuelekea uchaguzi mkuu ujao nchini Tanzania umepokelewa kwa hisia tofauti
10 years ago
Habarileo19 Jun
Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao
UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
10 years ago
MichuziWAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania