IDRIS AKUTANA NA WIZKID NCHINI AFRIKA KUSINI
Wizkid akiwa na Mshindi wa Big Brother Africa wa mwaka 2014 Idris wakiwa katika picha ya pamoja chini Afrika ya Kusini jana usiku. Wizkid, Jeremiah Ogbodo na mashabiki zao. Permithias akiwa katika pozi. Mshindi wa Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan jana…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI
AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO
9 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
Vanessa Mdee a.k.a Vee Money anaendelea kupata mashavu ya kimataifa, ambapo hivi sasa ataiwakilisha Bongo katika tamasha la ‘African Music Concert’ 2015 (AMC) linalotarajiwa kufanyika October 24, 2015 Johannesburg, Afrika Kusini. Hit maker wa ‘No Body But Me’ atashare jukwaa na mastaa wengine wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama […]
10 years ago
MichuziMAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika...
10 years ago
MichuziJK akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini Ikulu, Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Jumatatu ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya Jumatatu, Desemba 22, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Zuma.Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam, yalichukua kiasi cha saa moja na dakika 45 na yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini.Rais Zuma...
10 years ago
Michuzi17 Sep
TAARIFA YA MSIBA WA MTANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI
Ni matumaini yangu kuwa nyote muwazima na sie hatujambo huku Bondeni Sauzi.Maudhui ya barua hii ni kukufahamisheni kuwa kuna Mtanzania kwa jina Shukuru Goyagoya kafariki tarehe 16th mwezi huu katika Hospitali ya Baragwana Jo'burg.Alikua Kalazwa ICU takriban mwezi mmoja.
Hapa Sauzi alikuwa akiitwa kwa jina la umaarufu Jastice Mliambe Manesi kazaliwa mwaka 1970.
Maelezo niliyoweza kupata, Mama yake mzazi anaitwa Bi Ziada Musa Kitima anaishi Mabibo CCM . Naomba msaada wenu wa kutangaza katika...
Hapa Sauzi alikuwa akiitwa kwa jina la umaarufu Jastice Mliambe Manesi kazaliwa mwaka 1970.
Maelezo niliyoweza kupata, Mama yake mzazi anaitwa Bi Ziada Musa Kitima anaishi Mabibo CCM . Naomba msaada wenu wa kutangaza katika...
11 years ago
MichuziMembe amuaga rasmi Balozi wa Afrika Kusini nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi aliyekuwa Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thanduyise Henry Chiliza zawadi ya picha ya kuchora ya Mlima Kilimanjaro wakati wa hafla ya kumuaga Balozi huyo ambaye amemaliza muda wake wa kazi hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro) Jijini Dar es Salaam. (Picha na Reginald Philip)
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Treni Rovos Rail yarejea nchini Afrika Kusini
Treni ya watalii ya Afrika Kusini iliyokuwa nchini kwa mara ya pili, iliondoka jana mchana kurejea CapeTown.
10 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Idd akutana na Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA }
Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } imejipanga kuwa kiunganishi kizuri cha wanataaluma wa Korea ya Kusini na wale wa Kitanzania kwa lengo la kudumisha uhusiano uliopo kati ya nchi mbili hizo.
Rais wa KOIKA aliyekuwa kinara wa Ujumbe wa Viongozi Wanne wa Jumuiya hiyo Ndugu Steven Katemba alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Nd. Steven...
Rais wa KOIKA aliyekuwa kinara wa Ujumbe wa Viongozi Wanne wa Jumuiya hiyo Ndugu Steven Katemba alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Nd. Steven...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania