Idris ashambuliwa baada kutafsiriwa kuwa ametaja watu 4 ndio waliomuwezesha kushinda Hotshots
Iko wazi kuwa ni watu wengi wa Afrika Mashariki walioshiriki kumpigia Kura Idris Sultan na kumuwezesha kuibuka mshindi wa BBA 2014. Na katika mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanyiwa toka ashinde amekuwa akitoa shukrani zake kwa Watanzania, Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Lakini tafsiri ya maneno machache aliyoyaandika mshindi huyo wa Hotshots kwenye akaunti yake […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
10 years ago
Michuzi05 Oct
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
Zaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi
Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa.
Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari[PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi baada ya kuvamia jiji la Paris, Ufaransa nje ya uwanja wa uliokuwa ukichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani (Stade de France).
Ripoti zinasema wakati mchezo huo ukiendelea ilisikika milio ya mabomu matatu (3) yakilia nje ya...
10 years ago
GPLIDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014
10 years ago
GPLIDRIS KUSHINDA BBA LEO!
10 years ago
Bongo519 Sep
Picha: Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots
10 years ago
Bongo509 Dec
Video: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa Afrika