Iggy Azalea amshtaki ex wake anayetaka kusambaza mkanda wao wa ngono
Iggy Azalea amemfungulia mashtaka mpenzi wake wa zamani anayedai kuwa anataka kusambaza mkanda wao wa ngono. Rapper huyo anadai kuwa ex wake alikopi data nyingi kutoka kwenye laptop yake bila ruhusa. Iggy amefungua mashtaka hayo dhidi ya Hefe Wine kwa kumtuhumu kudownload kila kitu kutoka kwenye komputa yake binafsi mwaka 2009 wakati wakiishi pamoja huko […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo520 Jul
‘Iggy Azalea aliumizwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET’ asema boyfriend wake
10 years ago
Bongo522 Jan
Iggy Azalea: Nimeibadilisha Hip Hop
9 years ago
Bongo504 Nov
DJ Crème De La Crème wa Kenya ajitokeza na kuomba msamaha baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja
![creme (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/creme-1-300x194.jpg)
Baada ya kukumbwa na skendo kubwa ya kusambaa mtandaoni kwa mkanda wa ngono, DJ Crème De La Crème wa Kenya amevunja ukimya na kujitokeza kuzungumzia swala hilo pamoja na kuomba msamaha.
DJ huyo maarufu na aliyekuwa akiheshimika, ametumia akaunti yake ya Instagram kuomba msamaha kwa kile kilichotokea.
Crème ambaye ni baba wa watoto wawili ameomba msamaha watu mbalimbali, ikiwemo familia yake, msichana aliyehusika naye kwenye mkanda huo aitwaye Halima, mashabiki wake pamoja na marafiki...
10 years ago
GPL19 Sep
10 years ago
Bongo519 Sep
New Music Video: Jennifer Lopez ft. Iggy Azalea — Booty
10 years ago
Bongo523 Aug
Video: Iggy Azalea aanguka jukwaani akitumbuiza ‘Fancy’