Ijue hatari ya saratani ya utumbo mpana
Saratani ni mojawapo ya magonjwa ambayo hayachagui tajiri wala maskini. Ugonjwa huu ndiyo uliomsababishia kifo mtu tajiri na mwenye akili nyingi; huyu ni mgunduzi wa mifumo ya simu za Iphone, Steve Jobs.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Vijana kuathirika na saratani ya utumbo
Saratani ya utumbo miongoni mwa watu walio na umri chini ya mika 34 inatarijiwa kuongezeka maradufu miaka kumi na tano ijayo.
10 years ago
Michuzi11 years ago
Mwananchi19 Apr
Pombe, sigara, chumvi chanzo cha saratani ya utumbo
>Maradhi ya saratani yameendelea kushika kasi duniani kote na kusababisha taharuki kwa watu maskini na hata matajiri. Saratani huweza kuathiri sehemu yeyote ya mwili wa binadamu.
10 years ago
Michuzi11 Jan
IJUE SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)
Na Harriet Shangarai
Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani ya nne inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kati ya matukio 75,000 ya...
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Saratani ya tezi dume ni hatari
 Pamoja na maelezo ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa juzi juu ya ugonjwa wa saratani ya tezi dume mara baada ya kurejea nchini kutoka Marekani alikotibiwa, maswali kuhusu ugonjwa huo bado ni mengi na hivyo kuhitaji ufafanuzi.
11 years ago
Mwananchi16 May
Hatari ya saratani ya kibofu cha mkojo
>Si jambo geni kwa watu wanaoishi maeneo ya Kanda ya Ziwa kuwa na tatizo la kukojoa damu. Wataalamu wa afya wanaeleza hali hiyo kuwa inatokana na maambukizi ya ugonjwa wa kichocho.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsQ3o97jEsXMTKuTznEjpBsPWEhUDqyuFqUf9CDbkGachAoSzwqr27t1vj56HmqeLXc2SJrrn*21tdy-ZuATx0-/soda.jpg?width=650)
WANYWA SODA WANA HATARI KUBWA YA KUPATWA SARATANI!
INAKADIRIWA kiasi cha watu milioni 1.6 watapatwa na ugonjwa wa saratani mwaka huu nchini Marekani na inakadiriwa kuwa kati ya hao, watu laki 5 watapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo hatari. Pia kiasi cha watu laki 6 hufariki kwa ugonjwa wa moyo nchini humo kila mwaka. Licha ya maendeleo ya kisayansi yaliyopatikana kwa nusu karne iliyopita, lakini makampuni ya kimagharibi yanayotengeneza dawa za binadamu, yameshindwa kuvumbua...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?
>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Kamati teule za bunge ziwe na wigo mpana
Kamati teule za Bunge, zimekuwa zikiundwa na wabunge wenyewe hali inayoelezwa kusababisha malalamiko ya kulindana na kukomoana yanayofanywa na wajumbe ambao ni wanasiasa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania