Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pombe, sigara, chumvi chanzo cha saratani ya utumbo

>Maradhi ya saratani yameendelea kushika kasi duniani kote na kusababisha taharuki kwa watu maskini na hata matajiri. Saratani huweza kuathiri sehemu yeyote ya mwili wa binadamu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilali- Pombe, sigara vinachangia maambukizi ya saratani ya koo na ini

Mtindo wa maisha kama vile unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, ni miongoni wa sababu kubwa zinazotajwa kuchangia saratani ya koo la chakula na ini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Pombe chanzo cha unyanyasaji wa kijinsia’

MRATIBU wa Kituo cha Usuluhishi (CRC) kinachoratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), Elizabeth Muhangwa, amesema unywaji wa pombe unasababisha unyanyasaji wa kijinsia katika familia. Muhangwa alitoa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanaume wasiotahiriwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi’

IMEELEZWA kuwa wanawake wanaopata ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa kiasi kikubwa inatokana na kufanya mapenzi na wanaume ambao hawajatahiriwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vijana kuathirika na saratani ya utumbo

Saratani ya utumbo miongoni mwa watu walio na umri chini ya mika 34 inatarijiwa kuongezeka maradufu miaka kumi na tano ijayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ijue hatari ya saratani ya utumbo mpana

Saratani ni mojawapo ya magonjwa ambayo hayachagui tajiri wala maskini. Ugonjwa huu ndiyo uliomsababishia kifo mtu tajiri na mwenye akili nyingi; huyu ni mgunduzi wa mifumo ya simu za Iphone, Steve Jobs.

 

11 years ago

Michuzi

Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Na Anna Nkinda - Washington
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria  hafla fupi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Sigara yachangia saratani-Dk Ngoma

>Uvutaji wa sigara na bidhaa za jamii ya tumbaku unatajwa kuchangia kwa asilimia 40 ya saratani zote duniani.

 

5 years ago

BBCSwahili

'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'

Fahamu maisha ya Anne yalivyokuwa baada ya kuwa mraibu wa pombe kupindukia alikorithishwa na baba yake mzazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani