Dk Bilali- Pombe, sigara vinachangia maambukizi ya saratani ya koo na ini
Mtindo wa maisha kama vile unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, ni miongoni wa sababu kubwa zinazotajwa kuchangia saratani ya koo la chakula na ini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Pombe, sigara, chumvi chanzo cha saratani ya utumbo
>Maradhi ya saratani yameendelea kushika kasi duniani kote na kusababisha taharuki kwa watu maskini na hata matajiri. Saratani huweza kuathiri sehemu yeyote ya mwili wa binadamu.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Sigara yachangia saratani-Dk Ngoma
>Uvutaji wa sigara na bidhaa za jamii ya tumbaku unatajwa kuchangia kwa asilimia 40 ya saratani zote duniani.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
AFYA: Wazee watakiwa kuacha pombe, sigara
>Wazee wilayani hapa mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuachana na matumizi ya pombe na uvutaji wa sigara na kujiweka katika hali ya usafi ili waweze kuwa na afya bora na kuondokana na magonjwa yasiyo ya lazima.
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Tutegemee tena Bajeti ya sigara, pombe, soda?
Bajeti ya Serikali kwa mwaka ujao wa fedha itawasilishwa kesho bungeni mjini Dodoma.
5 years ago
BBCSwahili27 May
'Baba alinifunza kunywa pombe na kuvuta sigara'
Fahamu maisha ya Anne yalivyokuwa baada ya kuwa mraibu wa pombe kupindukia alikorithishwa na baba yake mzazi.
5 years ago
MichuziGAVANA APINGWA JUU YA MPANGO WAKE WA KUTUMIA POMBE KAMA KITAKASA KOO
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
LICHA ya Shirika la Afya Duniani kusema wazi kuwa pombe haiwezi kupigana dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) na kuwashauri watu wapunguze matumizi yake Gavana wa Mji mkuu wa Nairobi, nchini Kenya Mike Sonko kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika mapema jumanne valithibitisha matumizi ya pombe katika Kupambana na virusi hivyo kwa kile alichoeleza kuwa pombe aina ya Hennessy ni kitakasa koo "throat sanitizer." CNN imeripoti.
Sonko ...
11 years ago
GPLDAMU SALAMA: MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI YAZIDI UKIMWI KWA 5.6%
Ofisa Uhusiano Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda, akizungumza jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Kulia ni ofisa kutoka Msalaba Mwekundu, Evelyne Kussaga.
Waandishi wa habari wakisikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa Damu Salama.…
11 years ago
BBCSwahili30 Jan
Tahadhari:Pombe inaleta saratani
Wanasayansi wanaamini kuwa unywaji mwingi wa pombe unaweza kuleta hisia zisizo za kawaida mwilini ambazo zinaweza kuiweka ngozi katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya ngozi.
11 years ago
Michuzi02 Jun
DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI
Kituo cha uchunguzi na mafunzo ya magonjwa ya saratani, matumbo na ini Ukanda wa Afrika Mashariki kimefunguliwa rasmi mwishoni mwa juma. Sherehe hizo zilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwishoni mwa juma ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Fuatilia katika picha matukio wakati wa ufunguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipongezana na Profesa Meinrad Classen wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania