Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu: Siku za Profesa Muhongo zinahesabika

prof muhongoAziza Masoud na Grace Shitundu, Dar es Salaam
IKULU imewataka Watanzania kuwa na subira kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete wakati wowote kuanzia sasa atatoa uamuzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Profesa Muhongo na baadhi ya viongozi wengine wa Serikali wanahusishwa na sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Viongozi wengine ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Eliakim Maswi ambaye amesimamishwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwakalebela: Siku za Msigwa zinahesabika Iringa

Jimbo la Iringa Mjini ni miongoni mwa majimbo ya uchaguzi yanayoongozwa na wabunge kutoka vyama vya upinzani nchini.

 

11 years ago

GPL

Siku za Emmanuel Okwi, zinahesabika Yanga SC

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Na Walusanga Ndaki
UNAWEZA ukadhani ni masihara, lakini uhusiano kati ya mshambuliaji Emmanuel Okwi na uongozi wa Yanga umebaki asilimia 20 tu. Yanga wanaonyesha kutoridhishwa na tabia za Okwi na viongozi waliokutana wanaona bora aende zake.
Habari za uhakika kutoka kwa rafiki wa Okwi zinaeleza Yanga imeishamdokeza kuwa inataka kuvunja mkataba. “Kweli hata Okwi anajua, kaniambia uongozi Yanga...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU ZA DIAMOND KUWA NA ZARI ZINAHESABIKA

Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibua mambo ya sirini ya msanii na mwanamama huyo tajiri nchini humo.Kikubwa kinachozungumziwa ni kuhusu tabia ya Zari kutoka na wanaume tofauti. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wa Zari ametangaza dau la Dola 40,000 kwa Diamond ili amwache dada huyoWASWAHILI wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka. Msemo huu unalandana na penzi la Zari ‘The Boss Lady’ na nyota...

 

11 years ago

Michuzi

Siku za kwenda Brazil Kombe la Dunia zinahesabika

FIFA-World-Cup-2014-Brazil Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii. Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya aina ya mwisho kwa Brazil, tofauti na kujitangaza yenyewe...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wasafirishaji na wauzaji dawa za kulevya siku zako zinahesabika — JK

FSA_8754

Rais Jakaya Kikwete akisalimia na Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe wakati  akiingia katika uwanja wa Julius Nyerere International Airport (JNIA) kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria jijini Dar es Salaam.

.asema kama Rais wa nchi inamuuma sana kwa taifa kuwa uchochoro wa dawa hizo

.Rais asema watumishi wanaojihusisha na dawa za kulevya kuondolewa mara moja

.TAA watengeneza jengo jipya la abiria lenye mifumo ya kimataifa

Na Damas Makangale,...

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo acharuka

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.

 

10 years ago

Mwananchi

AREMA wampinga Profesa Muhongo

Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Arusha (Arema), kimepinga mpango wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukifuta Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (Tawoma) baada ya kupinga ongezeko la tozo kwa wachimbaji wadogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita vya Profesa Muhongo

Sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow linaweza kuwa limefanya jina la Profesa Sospeter Muhongo kuzungumzwa sana na kuonekana amekuwa kwenye wakati mgumu tangu lilipoibuka, lakini ukweli ni kwamba lilikuwa hitimisho tu la matukio mengi tangu msomi huyo aanze kuongoza Wizara ya Nishati na Madini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani