Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Inashangaza kulalamikia mambo yasiyo na tija

Katika miaka ya sasa dhana ya kujifunza kutokana na makosa haipo tena. Kwa nini tujifunze kutokana na makosa wakati ukweli uko mbele yetu?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TLP: Vijana msishabikie mabadiliko yasiyo na tija

Vijana wameshauriwa kuacha kushabikia mabadiliko yasiyokuwa na tija kwa kuamini yatawaletea maendeleo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

9 years ago

Raia Mwema

Majibizano yasiyo na tija hayataipa Z’bar wepesi

WIKI ijayo nitaendelea na makala ya wiki iliyopita juu ya uchaguzi huu uwe fundisho.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania acheni kushabikia mambo yasiyo na faida

Nianze kwa kuwapa salamu Watanzania wenzangu mliojaa uzalendo, mlio tayari kuhoji mambo ya msingi kwa mustakabali wa nchi yetu.

 

11 years ago

Habarileo

‘Jadilini mambo yenye tija Katiba mpya’

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wameshauriwa kujadili mambo yenye tija kwa taifa, badala ya kubishania yasiyo ya msingi, kwa sababu, fedha wanazozitumia bungeni ni za wananchi watakaohoji kulikoni katiba bora isipopatikana.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI ALIASA JESHI LA MAGEREZA KUPUNGUZA MATUMIZI YA FEDHA ZA SERIKALI YASIYO MUHIMU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. John Mngodo akihubia Baraza la Wafanyakazi raia wa Jeshi la Magereza lililofanyika leo Desemba 15, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi raia wa Jeshi la Magereza kutoka vituo mbalimbali hapa nchini wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi kama wanavyoonekana katika picha.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa maelezo ya awali kabla ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Inashangaza, tatizo liko wapi?

Kwa mataifa mengine, sikukuu za mwisho wa mwaka huwa ni za kutafakari yaliyotendeka ndani ya mwaka mzima na kujipanga upya kwa unaofuata. Sina uhakika kama sisi Tanzania tunafanya hivyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Inashangaza wabunge kulipua Bajeti ya Elimu

Katika toleo letu la jana, ukurasa wa sita kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “Mvua yasababisha bajeti ya elimu kupitishwa kwa kulipuliwa” kutokana na mvua zilizonyesha mfululizo kwa takriban siku tatu.

 

10 years ago

Habarileo

Ndesamburo: Ukawa acheni kulalamikia Jeshi la Polisi

Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo.MBUNGE wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Philemon Ndesamburo amewataka viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuacha kulilalamikia Jeshi la Polisi kutokana na kazi zao wanazozifanya ikiwa ni kulinda amani na usalama wa nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aibu wajumbe Bunge la Katiba kulalamikia posho

MIJADALA ya siku mbili tu tangu Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza kikao chake mjini Dodoma, inatia shaka kama kweli wawakilishi hao walioteuliwa na rais watatimiza lengo ambalo Watanzania wanalitarajia la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani