TLP: Vijana msishabikie mabadiliko yasiyo na tija
Vijana wameshauriwa kuacha kushabikia mabadiliko yasiyokuwa na tija kwa kuamini yatawaletea maendeleo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Msishabikie mabadiliko huwa majuto — Askofu
Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Africa Graduate cha nchini Sierra Leone, Askofu Profesa, Stephano Nzawa, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya kumtunikia nishani ya heshima baada ya kubaini utendaji wake uliotawaliwa zaidi na uaminifu.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATANZANIA wanatakiwa kuchukua tahadhari kubwa katika kushabikia mabadiliko ya aina yoyote, yakiwemo ya kisiasa kwa madai kwamba baadhi ya mabadiliko hayo hugeuka na kuwa majuto mjukuu.
Tahadhari hiyo imetolewa na askofu Profesa...
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Inashangaza kulalamikia mambo yasiyo na tija
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Majibizano yasiyo na tija hayataipa Z’bar wepesi
WIKI ijayo nitaendelea na makala ya wiki iliyopita juu ya uchaguzi huu uwe fundisho.
Mwandishi Wetu
10 years ago
GPLECOWAS YAIONYA BURKINA FASO HAITATAMBUA MABADILIKO YASIYO YA KIKATIBA
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Wabunge vijana; Ni haraka ya mabadiliko au wamepotoka?
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Prof Jay: Vijana ndiyo watakaoleta mabadiliko
9 years ago
Dewji Blog25 Sep
Vijana wa Kitanzania waungana kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi malengo ya 17 ya (SDGs)
Mkurugenzi wa Asasi ya Mazingira, Elisha Sibale amesema kuwa vijana wanawajibu wa kuleta mabadiliko chanya katika mabadiliko ya tabianchi kutokana na kuwa sehemu ya kubwa ya kuweza kuingia katika ajenda hizo.
Na Andrew Chale, modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Vijana nchini wametakiwa kuchukua hatua ya kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa vitendo huku wakiombwa kuungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio hayo ilikufanya idadi kubwa ya watu katika utekelezaji wa malengo mbalimbali...
11 years ago
Habarileo21 Mar
‘Wanasiasa msishabikie Katiba kwa maslahi yenu’
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wabunge na wawakilishi wamewataka wanasiasa wenzao kutoshabikia muundo wa utawala kwenye Katiba mpya kwa maslahi ya kupata vyeo. Badala yake wamewataka kuhakikisha Katiba mpya, inagusa maisha ya watu na uchumi kiujumla ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na kupata maendeleo.
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Taasisi za NPS na TYCEN zawakutanisha vijana kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi
Picha ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa Vijana wa Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika kwenye ukumbi wa Eco Sanaa, Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeandaliwa na Global Power Shift Tanzania Chapter (NPS) kwa kushirikiana na Tanzania Youth Cultural Exchange Network (TYCEN).
Afisa Mwandamizi Mazingira, Abela Muyungi kutoka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Mratibu wa Mtandao wa mabadiliko ya Tabianchi CAN Tanzania,...