Inawezekana kupiga vita umaskini kwa ushirikiano-UN
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza wakati akizindua Malengo Endelevu 17 ya Maendeleo nchini (SDG’s) Tanzania katika shule ya Uhuru mchanganyiko, katika hafla ambayo pia benki ya Standard Chartered Tanzania ilishiriki na kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo. (Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Na Mwandishi wetu
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
UNDP yasisitiza vita ya umaskini kwa kutumia mazingira
Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon Manyama akitoa maelezo kuhusu mradi wa PEI na salamu kutoka UNDP kwa washiriki wa mafunzo hayo hivi karibuni jijini Mwanza.
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
MKURUGENZI Msaidizi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Amon Manyama, alisema vita dhidi ya umaskini inakuwa na maana kubwa kama inalinganishwa na mazingira.
Alisema kwamba umaskini wa kipato ambao umekuwa ukipiganwa sana...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-q33DlcjARtE/UxoD1XnnS7I/AAAAAAAFRz0/QQr8BWaLbwU/s72-c/8.jpg)
WILDAF yaendesha Mkutano kwa Wadau wake wa Kupiga Vita Ukatili Dhidi ya wanawake nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-q33DlcjARtE/UxoD1XnnS7I/AAAAAAAFRz0/QQr8BWaLbwU/s1600/8.jpg)
11 years ago
Habarileo26 Mar
Tanzania, China kupiga vita ujangili
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imesema itahakikisha inasaidiana na Tanzania katika mapambano dhidi ya ujangili, ambapo wametoa msaada wa mashine mbili za kukagua makontena katika bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar.
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Baby Madaha Kupiga Vita 'Unga'
Star wa muziki wa miondoko ya Bongofleva Baby Madaha hivi sasa ameamua kutumia sanaa yake ya uigizaji katika kupambana na matumizi ya dawa za kulevya ambayo yanarudisha nyuma maendeleo hasa kwa vijana ambao ni taifa la kesho.
Baby Madaha ameongea na eNewz kuwa hivi sasa anamiliki kampuni yake binafsi akielezea kuwa filamu hiyo mpya ambayo ipo mbioni kukamilika iliyobatizwa jina la 'Saint And Ghost' imewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Mzee Chilo, Bella fasta, Bi Moza na wengineo...
10 years ago
Habarileo17 May
Waandishi waaswa kupiga vita rushwa
WAANDISHI wa Habari wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kutumia kalamu zao kupambana na rushwa sambamba na kusisitiza demokrasia na utawala bora katika nchi zao.
10 years ago
Habarileo09 Mar
Serikali kuendelea kupiga vita rushwa
SERIKALI imesema itaendelea kupambana na changamoto ya rushwa katika biashara na uwekezaji hapa nchini.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
RTI yataka ushirikiano vita ya malaria
WAKATI Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Malaria, Kampuni ya RTI International ya jijini Dar es Salaam, imesema vita dhidi ya ugonjwa huo inahitaji ushirikiano, hivyo kuzitaka...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Mantra yasaini makubaliano kupiga vita ujangili
KAMPUNI ya Mantra Tanzania na Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii, wamesaini mkataba wa makubaliano, ambao umelenga kwa pande zote mbili kushirikiana katika kupiga vita ujangili wa...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Serikali, viongozi wa dini kupiga vita ujangili
WIZARA ya Maliasili na Utalii imekutana na viongozi wa dini nchini kwa lengo la kupaza sauti ya pamoja katika vita dhidi ya ujangili na uhifadhi wa wanyamapori na biashara ya...