Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Insignia kusaidia jamii katika elimu

INSIGNIA_LOGO-page1

Kitendo cha kampuni au taasisi kuisaidia jamii kinageuka kuwa cha kisheria katika baadhi ya nchi na kwa nchi mbalimbali bado ni jambo la uamuzi. Watafiti wamegundua, kampuni tatu kati ya kila kampuni nne tayari wanaisaidia jamii au wana mpango wa kuisaidia jamii, miaka michache ijayo. Asilimia 58 ya makampuni yamethibitika kuwa na bajeti kila mwaka kwa ajili ya uendelezaji wa shughuli hizi.

Tafiti pia zimeonesha kuwa kwa kiasi kikubwa; Zaidi ya asilimia 80 ya kampuni zinachagua elimu kama...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU -KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MLAJI DUNIANI


 Mmoja wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru akiuliza swali kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA walipoenda chuoni hapo kutoa elimu namana ya matumizi sahihi ya Mitandao pamoja na kuwajengea uelewa namna ya kutunza usiri wa faragha zao.Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru wakifuatilia kile kinachoendelea kutoka mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA

 Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Mhandisi Imelda Salum akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha  Maendeleo ya Jamii Tengeru...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii

Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nani ana haki ya kupata elimu katika jamii?

WAJIBU wa kila mzazi nchini mwenye mtoto aliyefikisha umri wa kwenda shule ni kuhakikisha mtoto huyo anakuwa darasani, lakini bado wapo wazazi wanaoshindwa kutekeleza wajibu huo.

Achilia mbali watoto wanaozurura mitaani kutokana na kukosa nafasi ya kwenda shule, lakini wapo pia watoto wanaoishi na wazazi wao lakini hawakupata wasaa wa kukaa darasani na kumsikiliza mwalimu kutokana na maisha duni ya wazazi wao.

Hata hivyo, ieleweke Tanzania ya sasa si ile ya zamani ambapo idadi ya...

 

10 years ago

Michuzi

FISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA

 Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani,katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo  Elisha Maghembe.Picha na Mahmoud Ahmad
.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu aitaka NHIF kuongeza bidii katika kutoa elimu ya Afya kwa Jamii

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipatiwa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko huo, Rehani Athumani, wakati alipotembelea Banda lao kwenye Maonyesho ya Nane nane, mkoani Lindi. Waziri Mkuu akitoa maagizo kwa uongozi wa Mfuko wa kuongeza elimu hususan katika magonjwa ya unyanyapaa ndani ya jamii. Mwanachama wa Mfuko akipata maelezo ya huduma zinazotolewa bandani hapo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI 

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)

Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam.Picha na Chris...

 

11 years ago

GPL

REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA‏

Mwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka Shirika la Search for Common Grounds (SFCG), yanayoendelea mjini Dodoma. Meneja Mradi wa SFCG wilaya ya Tarime, Bwana Jacob Mulikuza, akielezea maudhui ya warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kwa washiriki ambao ni waandishi...

 

11 years ago

Habarileo

‘Jamii Kwanza’ yazinduliwa na rai ya elimu kubadili jamii

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka watu waliopata elimu kuitumia kwa manufaa ya umma ili kuleta mabadiliko ya haraka katika jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani