Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani ana haki ya kupata elimu katika jamii?

WAJIBU wa kila mzazi nchini mwenye mtoto aliyefikisha umri wa kwenda shule ni kuhakikisha mtoto huyo anakuwa darasani, lakini bado wapo wazazi wanaoshindwa kutekeleza wajibu huo.

Achilia mbali watoto wanaozurura mitaani kutokana na kukosa nafasi ya kwenda shule, lakini wapo pia watoto wanaoishi na wazazi wao lakini hawakupata wasaa wa kukaa darasani na kumsikiliza mwalimu kutokana na maisha duni ya wazazi wao.

Hata hivyo, ieleweke Tanzania ya sasa si ile ya zamani ambapo idadi ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Tanzania

‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’

ELIMU ndiyo ufunguo wa maisha, binadamu aliyekamilika hapa duniani ili awe kamili lazima awe na elimu ya mazingira yanayomzunguka, ndiyo maana vitabu vya Mungu vyote vinahimiza umuhimu wa elimu.

Unapoitaja elimu kwa muktadha wa wa mwanga katika jamii, unaongeza umuhimu wake kwa kila mwenye fursa ya kuipata bila kujali umri, hali ya kiuchumi na jinzia. Kumekuwepo na tatizo la watu waliopita umri wa kuanza shule ya msingi ambao ni miaka saba, serikali ikabaini hilo tatizo na kuanzisha...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU -KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MLAJI DUNIANI


 Mmoja wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru akiuliza swali kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA walipoenda chuoni hapo kutoa elimu namana ya matumizi sahihi ya Mitandao pamoja na kuwajengea uelewa namna ya kutunza usiri wa faragha zao.Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru wakifuatilia kile kinachoendelea kutoka mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA

 Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Mhandisi Imelda Salum akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha  Maendeleo ya Jamii Tengeru...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa kike anavyosongwa katika safari ya kupata elimu

Kama kuna mikakati iliyobuniwa kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu nchini, ni pamoja na ujenzi wa shule za sekondari za kata.

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA TUME ZA HAKI AWATAKA WANAWAKE KUJITATHIMINI MAENDELEO WALIYOYAFANYA KATIKA JAMII

 Kamishna wa Tume za Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Fatma Rashid Khalfan akizungumza na wandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya wanawake mkoani Dodoma leo. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Felista Bura akizungumza na wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa wa Dodoma yamefanyika jijini Dodoma. Watumishi wanawake kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wakiwa kwenye maandamano ya siku ya wanawake duniani jijini Dodoma...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii

Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.

 

9 years ago

Dewji Blog

Insignia kusaidia jamii katika elimu

INSIGNIA_LOGO-page1

Kitendo cha kampuni au taasisi kuisaidia jamii kinageuka kuwa cha kisheria katika baadhi ya nchi na kwa nchi mbalimbali bado ni jambo la uamuzi. Watafiti wamegundua, kampuni tatu kati ya kila kampuni nne tayari wanaisaidia jamii au wana mpango wa kuisaidia jamii, miaka michache ijayo. Asilimia 58 ya makampuni yamethibitika kuwa na bajeti kila mwaka kwa ajili ya uendelezaji wa shughuli hizi.

Tafiti pia zimeonesha kuwa kwa kiasi kikubwa; Zaidi ya asilimia 80 ya kampuni zinachagua elimu kama...

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM : Stella Manyanya– Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Stella Manyanya (Mhandisi) ndiye Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali na wadau mbalimbali kuendelea kutoa elimu kwa makundi yaliyo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU

NACP -1

Mkurugenzi wa Udhibiti na Uhakiki wa Wizara ya Afya  Dkt.Mohamed Ally Mohamed akionyesha moja ya chapisho lenye taarifa za tafiti za watu walio katika makundi maalum na hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi  katika mikoa 7 lililotambulishwa jana jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa – MAELEZO

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya kutoa elimu kwa makundi ya watu wanaotumia dawa za kulevya na wale wanaojihusisha na biashara ya ngono katika maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani