introducing Dj Mix Version "Gere Rudmixx"
Shukrani kwa mapokezi mazito ya "East African Gere Remix" Salute kwa support yenu Upakuzi mkito na Requests Redioni. Kama Tulivyoahidi kuwapa Deejay Version aka "Rudmixx" Tarehe 19 Januari Bofya HAPA https://mkito.com/song/gere-rudmixx/12262 powered by @weusikampuni @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #supportafricanartists
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Mar
10 years ago
Michuzi03 Jun
10 years ago
Michuzi19 Dec
11 years ago
Michuzi10 Feb
5 years ago
The Citizen Daily22 Feb
Diamond and Tanasha’s Gere video hit with controversy
Diamond and Tanasha’s Gere video hit with controversy The Citizen Daily
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WA MASSACHUSETTS NINAWAONEA GERE KWA UPENDO NA MSHIKAMANO WENU
Maisha niliyokulia mimi ni maisha ya kuwa karibu na ndugu, jamaa na...
10 years ago
Bongo529 Dec
New Music: Weusi f/ Navio, Naziz, Collo & Rabbit – Gere (East African Remix)
Weusi wameachia remix ya hit single yao ‘Gere’ ambapo wamewakusanya miongoni rappers wakali wa Kenya na Uganda. Walioshirikishwa ni pamoja na Naziz, Collo na Rabbit wa Kenya na Navio wa Uganda. Pia kwenye remix hii utamsikia Lord Eyez.
10 years ago
Bongo519 Nov
Weusi waingia studio na Navio wa Uganda kufanya ‘Gere’ East African remix waliyowashirikisha Naziz na Collo
Kundi la Weusi limemeingia tena studio, lakini safari hii wakiwa na rapper Navio kutoka Uganda ambaye yupo jijini Dar es salaam kwa sasa. Weusi wamemuongeza Navio kwenye remix ya single yao ‘Gere’, ambayo tayari walitangaza kuwa wameifanyia remix nchini Kenya miezi kadhaa iliyopita na kuwashirikisha Collo na Naziz na hivyo kuifanya kuwa ni remix iliyohusisha […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania