Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Introducing Jikubali by BAC - T

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jikubali upate mafanikio

KILA mmoja anapaswa kutamani kuwa kiongozi ili aweze kujenga uwezo wa kuwa na maendeleo binafsi, pasipo kutamani maendeleo ya mtu mwingine, kwa sababu hakuna atakayemlazimisha mtu mwingine kupata mafanikio. Lakini...

 

11 years ago

Mwananchi

Jikubali hata katika ya dunia inayokukataa

Kuonyesha uhalisia wako siyo kosa kwani ipo nguvu ya kipekee katika kuonyesha uhalisia wako. Lakini inakuaje kama dunia inayokuzunguka haiependezwi na hali hiyo?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ben Pol ashangaa Jikubali kutopenya KTMA

MKALI wa muziki wa RnB nchini, Bernad Paul ‘Ben Pol’, amesema ameshangaa kuona kazi yake ya ‘Jikubali’ ikishindwa kuingia katika tuzo za Kilimanjaro Music (KTMA), kutokana na kwamba imefanya vizuri...

 

11 years ago

GPL

TIMU YA QUE BAC YATWAA UBINGWA WA MBAGALA CUP‏

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC),  Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi. Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Timu ya Que Bac Yatwaa Ubingwa wa Mbagala Cup, Yazawadiwa..!

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John na wageni wa meza kuu wakifuraia jambo.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) na Ugavi (BPLM) yafana TIA

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada hiyo jana katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam.

 Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani