Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jikubali upate mafanikio

KILA mmoja anapaswa kutamani kuwa kiongozi ili aweze kujenga uwezo wa kuwa na maendeleo binafsi, pasipo kutamani maendeleo ya mtu mwingine, kwa sababu hakuna atakayemlazimisha mtu mwingine kupata mafanikio. Lakini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Fanya haya upate mafanikio maishani

Wengi tunapenda mafanikio maishani. Ukiwa mfanyabiashara, mwajiriwa, kiongozi, mama wa nyumbani au mwanafunzi, lazima uwe na ndoto ya kufanikiwa kama sehemu ya kutimiza ndoto yako.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Jikubali hata katika ya dunia inayokukataa

Kuonyesha uhalisia wako siyo kosa kwani ipo nguvu ya kipekee katika kuonyesha uhalisia wako. Lakini inakuaje kama dunia inayokuzunguka haiependezwi na hali hiyo?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ben Pol ashangaa Jikubali kutopenya KTMA

MKALI wa muziki wa RnB nchini, Bernad Paul ‘Ben Pol’, amesema ameshangaa kuona kazi yake ya ‘Jikubali’ ikishindwa kuingia katika tuzo za Kilimanjaro Music (KTMA), kutokana na kwamba imefanya vizuri...

 

10 years ago

Mwananchi

MBINU ZA MAFANIKIO : Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 2

Katika mada hii ya namna ya kudumisha mafanikio yako, wiki iliyopita nilielezea juu ya dondoo za jinsi ya kutawala biashara yako ili isitetereke na kurudi nyuma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuwa na malengo upate unachostahili

MAISHA huwa hayapendelei mtu, hakuna anayepata asichostahili katika dunia hii, kama ukipata kidogo ujue ndicho ulichokitafuta. Kwa kawaida hakuna kitu kinachokuja na kukupa mafanikio kama hujajishughulisha nacho. Bahati huja pale...

 

11 years ago

BBCSwahili

Weka rehani upate mkopo

Suala la kupata mkopo kwa kuweka rehani kama saa au vito inaendelea kuwa mashuhuri barani Asia.

 

10 years ago

GPL

NJIA 3 ZA KUKUFANYA UPATE ELIMU BORA KUHUSU MAPENZI

Awali ya yote naomba niseme kwamba, safu hii ni kwa ajili yako wewe msomaji wangu. Huenda una jambo ambalo ungetamani nilijadili hapa au labda una tatizo linalokukosesha amani katika maisha yako ya kimapenzi, usisite kunitumia ujumbe kupitia namba zangu hapo juu nami nitakufanya uwe na amani. Mpenzi msomaji wangu, nilishawahi kusema huko nyuma kwamba mapenzi yanachukua sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku.Tunafanya kazi...

 

5 years ago

Michuzi

JISAJILI NA UPATE BONASI YA 5% KWA KILA MUAMALA UNAOWEKA


FURAHIA, SHINDA PESA- Jiunge na Meridianbet na ucheze Simulated Reality League Nini maana ya Simulated Reality League na unabashiri vipi? 
Ligi halisi za kuchezeshwa ni mchezo usio halisi wa mpira, ambao una tofauti kubwa ambayo imekuja kua mbadala katika mchezo wa soka. Michezo hii ya ligi za kuchezeshwa inatumia akili ya kawaida na mashine zinazotambua uwezo wa kuchambua matokeo ya kila mechi inayochezwa inayo mchezo wa mpira wa kawiada.
Hii imetengenezea michezo ya kubashiri hali na hamasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani